Jamvi la wanawake: Je, viongozi wanawake wana moyo wa huruma na upendo zaidi ya wanaume?

Jamvi la wanawake: Je, viongozi wanawake wana moyo wa huruma na upendo zaidi ya wanaume?

Kuanzia uongozi wa serikalini hadi kazini...wanawake ni tatizo ku-deal nao

Wanaongozwa na mood swings,veeeeeery unprofessional
Duuh mimi sijabahatika kukutana na wengi wa hovyo ila kwenye msafara wa mamba, kenge hawakosekani.
 
Binafsi boss wangu wa sasa ni mwanamama mtu mzima, ni mwelewa sana na nafurahia kufanya naye kazi. Vipi huko kwenu?

CC Wanajamvi wanawake:
nakwede97 ⋆ Aaliyyah * Mallerina
Leejay49 ⋆ Atoto * Demi * Binti Sayuni03
Sister Abigail ⋆ Ms R * Nusratt
realMamy ⋆ Qashy Lilith⋆ To yeye * cocastic
Msweet ⋆ Chujio * Palina
cocochanel * Anastasia21 * Nesi kungwi
ledada ⋆ Carleen * Midekoo
Numbisa ⋆ Mama Mwana * Hornet
SweetyCandy ⋆ Ellerie Bexley * Anita Makirita
ephen_ ⋆ Donatila * Lamomy
Jackcharty * Kelsea * Braying * Evelyn Salt
Viongozi wengi wanawake (si wote) walipata/wanapata nyadhifa kwa kuzitenga*****zao zikatengeka.

Amini nakuambia.
 
Mimi nimewaona wengi ambao wana uwezo tu vizuri na wanastahili nafasi zao.
Kati ya watu ambao wako vizuri katika kulimega tunda kimasihara na kwa ustadi wa hali ya juu basi mapadre na watumishi wengine wa mungu ni nambari moja kisha wengine hufuatia.
 
Back
Top Bottom