Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #21
Duuh mimi sijabahatika kukutana na wengi wa hovyo ila kwenye msafara wa mamba, kenge hawakosekani.Kuanzia uongozi wa serikalini hadi kazini...wanawake ni tatizo ku-deal nao
Wanaongozwa na mood swings,veeeeeery unprofessional
Duuh mimi sijabahatika kukutana na wengi wa hovyo ila kwenye msafara wa mamba, kenge hawakosekani.
Viongozi wengi wanawake (si wote) walipata/wanapata nyadhifa kwa kuzitenga*****zao zikatengeka.Binafsi boss wangu wa sasa ni mwanamama mtu mzima, ni mwelewa sana na nafurahia kufanya naye kazi. Vipi huko kwenu?
CC Wanajamvi wanawake:
nakwede97 ⋆ Aaliyyah * Mallerina
Leejay49 ⋆ Atoto * Demi * Binti Sayuni03
Sister Abigail ⋆ Ms R * Nusratt
realMamy ⋆ Qashy Lilith⋆ To yeye * cocastic
Msweet ⋆ Chujio * Palina
cocochanel * Anastasia21 * Nesi kungwi
ledada ⋆ Carleen * Midekoo
Numbisa ⋆ Mama Mwana * Hornet
SweetyCandy ⋆ Ellerie Bexley * Anita Makirita
ephen_ ⋆ Donatila * Lamomy
Jackcharty * Kelsea * Braying * Evelyn Salt
Pole, unachanganyikiwa na nini jamani?Yaan mpaka nachanganyikiwa🥺
Viongozi wa kike kuongozwa nao yahitaji moyo mkuuPole, unachanganyikiwa na nini jamani?
SikuaminiViongozi wengi wanawake (si wote) walipata/wanapata nyadhifa kwa kuzitenga*****zao zikatengeka.
Amini nakuambia.
Kabisa, wamama wa makamo wengi huwa ni wastaarabu kwa kweli.Utu uzima dawa...kakiwa kakijana🤦
Jaribu uone kama huamini.Sikuamini
Ila mi nimefurahi umeturudishia picha yetu 😅
Mimi nimewaona wengi ambao wana uwezo tu vizuri na wanastahili nafasi zao.Jaribu uone kama huamini.
Kati ya watu ambao wako vizuri katika kulimega tunda kimasihara na kwa ustadi wa hali ya juu basi mapadre na watumishi wengine wa mungu ni nambari moja kisha wengine hufuatia.Mimi nimewaona wengi ambao wana uwezo tu vizuri na wanastahili nafasi zao.