Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Duuh ajishushe Kwa machozi huku akifunga Kwa Maombi kwa Mungu,na mwanaume aone kwamba kuna tofauti!Kama si mtu wa Imani hapo kipengere.Nimekopi meseji kama nilivyoipokea.
************
Dada shikamoo,
Miaka 4 iliyopita niliolewa na mwanaume wa Kitanzania anayeishi South Africa. Nimezaa naye mtoto mmoja na nina ujauzito wa mtoto wetu wa pili. Huyu mwanaume alinikuta na mtoto mdogo wa miaka 2 ambaye baba yake alifariki kwa ajali ya gari nikabaki namlea peke yangu.
Baada ya kunioa alisema atamchukua mtoto wangu kama mtoto wake wa damu na kweli akawa anatuhudumia kwa kila kitu. Baada ya kuoana tukaanza na kufuatilia na process za kuasiri (adoption) kisheria. Sasa wiki iliyopita tumefanikiwa wote kuhamia South ila nilivyofika huku amenikalisha chini akasema hawezi kumuadopt mtoto wangu wala kumuweka kwenye makaratasi ya residence kama mwanaye kwa sababu ikitokea tumeachana au nimetangulia atabaki na jukumu la kulea mtoto ambaye si damu yake, litabaki kwake.
Nimeumia sana, nahisi maumivu na hasira mwanangu kukataliwa na kutengwa.
Nilimleta mtoto huku SA nikijua naye atanufaika kama wenzake ila mambo yamekua tofauti, sijui nifanyaje, naomba nishauri dada.
***********
MSAIDIENI JAMANI AFANYAJE NA YUKO UGENINI!
View attachment 3334365
Sasa Kumbe umetubagua Mme!Sisi ndio tunajuana wanaume,imeniuma kwa kweli!Wanawake wa JF kama mna chochote cha kumshauri, njooni tafadhali.
CC:
nakwede97 β Aaliyyah * Mallerina
Leejay49 β Atoto * Demi
Sister Abigail β Ms R
realMamy β Qashy Lilithβ To yeye
Msweet β Chujio * Palina
cocochanel * Anastasia21
ledada β Carleen * Midekoo
Numbisa β Mama Mwana * Hornet
SweetyCandy β Ellerie Bexley
ephen_ β Donatila * Lamomy
Jackcharty * Kelsea * Braying * Evelyn Salt
Haa haa wote mnakaribishwa kuchangia, ila hao nimewaCC waione nyuzi ili kama nao wana cha kuchangia wakilete.Sasa Kumbe umetubagua Mme!Sisi ndio tunajuana wanaume,imeniuma kwa kweli!
Sawa ni ajishushe tuu na akose Raha iwe kweli hata kwa act,jamaa atajirudi tuu.Haa haa wote mnakaribishwa kuchangia, ila hao nimewaCC waione nyuzi ili kama nao wana cha kuchangia wakilete.
Roho mbaya hiyo,process walishirikiana,mtoto kaenda huko South Africa,anageuza vipi kibao?Arudi alikotoka.Huyo mwanaume kakamilika haswaa.
Daaah sasa hapo kakamilika kwa kipi? ubinafsi? uongo? au?Arudi alikotoka.Huyo mwanaume kakamilika haswaa.
Sijambo, miss you too kipenzi!Miss u friend, haujambo?
Sawa bossSijambo, miss you too kipenzi!
Haya mpe ushauri binti, maana ndiyo mambo yako hayo.
Asante naona leo umesoma π π πMm nashauri waachane π
Mood ya asubuhi kabla sijachoka kubeba zege πAsante naona leo umesoma π π π
Wanaume mnakaribishwa pia, nilikosea kuandika.Japo wanaume hatujaombwa ushauri,mimi nina maoni yafuatayo:
1.Atafute siku moja aongee tena na mume wake,ili kumuomba abadili msimamo wake kwa faida ya familia yao,kwani huyo mtoto huenda akawa mkombozi kwao,pia amwambie mumuwe,hakuna ajuaye mpango wa Mungu kuwa nani atatangulia.
2.Iwapo atakataa,basi huyo mwanamke amrejeshe huyo mtoto Tanzania kwa ndugu zake mwanaume au ndugu zake yeye mwanamke,awaombe wasaidie kumlea na yeye awe anatuma matumizi.
3.Iwapo yote yatashindikana basi ampeleke mtoto kwa vituo vya kulelea watoto
Mwanaume mshenzi tu, na hawezi jua pengine huyo mtoto ndio atakuja kuwa wa maana zaidi. Kama babake ni marehemu, huyo ni yatima, tunashauriwa kuwasaidia yatima.Roho mbaya hiyo,process walishirikiana,mtoto kaenda huko South Africa,anageuza vipi kibao?