Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Natoa ushauri kutokana na muktadha uliopo,sitoi ushauri ili kumridhisha mtu yoyote yule,ama kuhusu dada yangu ama binti yangu nitamshauri vipi,pia itategemea muktadha wa hilo tatizo na iwapo muktadha utafanana basi huyo mtoto ntamchukua mimi ili yeye aendelee na ndoa yake kwa amani na furahaIli tu abaki na ndoa?
Huu ushauri wa 2 na 3 unaweza kumshauri Dadako au binti yako ?
Jiulize alimzaa ugenini,Hana ndugu wengine amuache Tza.Ni kweli mtoto anahudumiwa, ila huko ugenini atakosa haki nyingi kwa sababu siyo mtoto wake bali mtegemezi wa mkewe.
Soma vizuri, ameolewa akiwa na mwanae ambaye baba yake amefariki, na jamaa akakubali kuwa atamlea, akafanya process zote za kuwahamishia huko SA. Eti wamefika huko ndio anakataa kundelea na hizo process za ku asili na nyingine. Kenge tu.Uzalishwe na mwanaume Mwingine Kulea akulele mwingine then baadae unamnanga kwa kumuambia mtoto huyu sio babaako.
Soma vizuri, ameolewa akiwa na mwanae ambaye baba yake amefariki, na jamaa akakubali kuwa atamlea, akafanya process zote za kuwahamishia huko SA. Eti wamefika huko ndio anakataa kundelea na hizo process za ku asili na nyingine.
Nilivyoelewa kumlea na kumsaidia hajakataa ila kumu adopt awe wake kabisa ndio kwa sasa hataki. Kwa mimi naona sio tatizo mbona ndio wengi wanaish hivyo.Huyo mwanaume Amepata ushauri mbaya kutoka kwa marafiki zake.
Mbona issue ni ndogo maana huyo mtoto wa marehemu ni ndugu na watoto wake aliozaa na wewe mwanamke sasa kwanini asimsaidie huyo mtoto na ukizingatia ni mkubwa kuliko wanae who know atakuja kuwalea wadogo zake.
Wewe kataa kuwalea watoto kiubaguzi walee wote kama baba yao ni mmoja na wawe na umoja huyo mwanaume atajirudi tu.