witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itachukua miaka mingi kuelewa,,Hana kipato? Hana kazi?...Bora aache tu pombe coz atakutana na mambo ya ajabu huko!
Yaan mambo ya kununuliwa pombe mtu anakushika shika au kukwambia sijui mambo ya sex aaaagh kinyaa!
Kama mdada huna kazi asee usijitumbukize huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh...zina nini mkuu?Mumeo anafaidi sana,
Napendaga tu comments zako
[emoji23] kama leo nmelewa mchana kabisa uku si nikupelekea kuharibika uku
Nina makoloni yangu kibao tu. Kuna 1 mwarabu, kuna mtoto mmoja wa Kikurya na wengineo ntawala tu. Sijawahi kununua malaya Mwanza.
Eeeeh Mwarabu wa kuchovwa hahahaNina makoloni yangu kibao tu. Kuna 1 mwarabu, kuna mtoto mmoja wa Kikurya na wengineo ntawala tu. Sijawahi kununua malaya Mwanza.
Sent using my Nokia Torch
Hahahahaha dah[emoji23] kama leo nmelewa mchana kabisa uku si nikupelekea kuharibika uku
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea point kabisa juzi kati nipo club kadada kanataka kucheza na mm afu kananinong'oneza naomba K Vant Mbaya hiiHana kipato? Hana kazi?...Bora aache tu pombe coz atakutana na mambo ya ajabu huko!
Yaan mambo ya kununuliwa pombe mtu anakushika shika au kukwambia sijui mambo ya sex aaaagh kinyaa!
Kama mdada huna kazi asee usijitumbukize huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha mkuu ulimtoaUmeongea point kabisa juzi kati nipo club kadada kanataka kucheza na mm afu kananinong'oneza naomba K Vant Mbaya hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Yale maeneo noma!
Hata mtu akikuona maeneo yale anahisi unazo[emoji134]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji1787]...Bata la pale sio la mchezo!Niliwahi kuwa na mtoto mmoja wa Kishua, yeye tulikuwa tunakubaliana, nilipe room yeye atacover misosi na vinywaji.
Na anataka twende kule atleat mara moja kila miezi miwili, dah aisee.
Magu kaharibu nchi sana, màana toka Mzee wake akose uwaziri jeuri ilikwisha.
Umeona mkuu!Umeongea point kabisa juzi kati nipo club kadada kanataka kucheza na mm afu kananinong'oneza naomba K Vant Mbaya hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe unalewa best...kunywa vipombe vyepesi wines or imported beer utaenjoy sana![emoji23] kama leo nmelewa mchana kabisa uku si nikupelekea kuharibika uku
Sent using Jamii Forums mobile app