CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
- Thread starter
-
- #21
Vipi kiuza Magari ndo unaweza kusanya mtaji?Mkuu inaonekana huna idea na biashara.
Yan kuchoma maindi unaweza kukusanya mtaji?????
Na apo ukiwa unajitegemea kila kitu
Mkuu utatafuta mchawi wakati mchawi ni akili zako
Piga kwanza hesabu kwa siku anakusanya faida kiasi gan toa matumiz yake ya kila siku.
Uyo graduator kapote
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujue Hizi Aibu na Uoga zinatufanya tuamini kwamba Biashara ni ya kuuza Magari, kufungua Salooni ya kike au kiume, kufungua baaa, kuuza Magari, kufungua Hardware.Mkuu inaonekana huna idea na biashara.
Yan kuchoma maindi unaweza kukusanya mtaji?????
Na apo ukiwa unajitegemea kila kitu
Mkuu utatafuta mchawi wakati mchawi ni akili zako
Piga kwanza hesabu kwa siku anakusanya faida kiasi gan toa matumiz yake ya kila siku.
Uyo graduator kapote
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu kizuri ni kipi? Ninge sema anauza Magari je? ingekuwa kitu kibaya au kizuri?Sasa unafikiri ni hicho ni kitu kizuri?
Kwahiyo hukuona huruma pia?
Kweli kabisa lazima umhurumie mtu km huyu kuchoma mahindi kaanzia mbali sana alitakiwa adeal na mambo aliyosomea hivyo ni km ana evaporate matirio yake kichwaniSasa umepata furaha gani hapo zaid ya kuona huruma?? Sometimes this world is not fair. Sometimes haimaanish the hard you struggle you will have happy ending.
Wewe najua Hapo unawafanyia kazi waaume wenzako.Sasa umepata furaha gani hapo zaid ya kuona huruma?? Sometimes this world is not fair. Sometimes haimaanish the hard you struggle you will have happy ending.
veery good qouteHuko si kukusanya mtaji! Ni kusukuma siku imradi maisha yaende!
Ni kazi yake anaipenda. wangapu wako kazini wanaenda basi tu? wanapiha tai wanaenda ila hawana furaha?Sasa unafikiri ni hicho ni kitu kizuri?
Kwahiyo hukuona huruma pia?
Faida hata hapo anapata au unazungumzia faida ya aina gani?Akitaka kuiona faida vizuri alime shamba la mahindi
HahahaHuko si kukusanya mtaji! Ni kusukuma siku imradi maisha yaende!
Sio kwamba anaipenda hiyo kazi... anaifanya tu ili tu siku zisongeNi kazi yake anaipenda. wangapu wako kazini wanaenda basi tu? wanapiha tai wanaenda ila hawana furaha?
Au kwa sababu wanavaa Tai basi ni wajanja sana?
Mentalitu hizi ni balaa mno tena mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashangaa! Labda kaona kwenye mahind mtaji utakuwa fasta.IT ameshindwa kujiongeza hata akaanza kutengeneza simu?
Kuna watu wanaona jamaa anajidharirisha ila yeye na Mungu wake ndo anaye jua.Somo kubwa la kujivunza hapa ni kutokuwa na uoga na aibu!!
Ila kukusanya mtaji kwa kuchoma mahindi, huduma zingine za kimaisha anaziendesha vipi na anasevu kiasi gani??!!
Mkuu niunganishe naye huyo jamaa, niko siriaz...nitamwambia la kufanyaKwakweli Jana nilijawa na furaha tele baada ya hapa Arusha kukutana na Graduate alie somea mambo ys IT anachoma mahindi.
Niliongea naye kwa kifupi sana ingawa nime mpromise kumtafuta tuongee zaidi.
Jamaa kaamua kuweka vyeti pembeni ni baada ya kutuma application nyingi bila mafanikio.
Kaamua kuondoa uoga na aibu na kwa sasa anapata mafanikio na nina amini hata Mungu yuko upande wake. Mungu huwa hayuko upande wa watu wenye aibu na waoga. Jamaa anakusanya mtaji hivyo kwa alicho somea si kwamba kaacha bali kuchoma mahindi ni kukusanya mtaji wa yeye kufanya mambo makubwa zaidi.
AIBU NA UOGA NDO MUHIMILI MKUU WA KUTO FANIKIWA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa anatengeneza story yake ya mafanikoa watu wanaponda.inspiration[emoji122][emoji122]