Jana ilikuwa siku ya Furaha kukutana na Graduate anachoma mahindi Barabarani

kwa mtu wa IT kuchoma mahindi ni kuonesha kuwa alichosoma hakikumsaidia hata hiyo kazi akiiipata hawezi fanya. IT means being creative kuna mambo mengi sana yanahitaji ufumbuzi wa IT.....
Na kwa alie soma Law halafu yuko benki?

Alisoma Soil sayansi na anafanya kazi ya Kuwahudumia wateja?

Jamaa anakusanya mtaji wake.

Najua shida ni yeye kuchoma.mahindi.

Shida ni mahindi ningesema amefungua salooni najua watu wasinge ponda.

Ningesema analima watu wangeelewa kisa ni mahindi kuchoma?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo sio IT lover kasoma hiyo fani kwa kufuata mkumbo, mbona kuna mambo mengi ya kufanya na kukuingizia Pesa through IT
 
For your information namfahamu tajiri mmoja mwenye maghorofa (sio moja) hapa Arusha ambaye alianza kuuza karanga, akawa machinga, akapanuka akafungua kaduka ka nguo, na sasa ni tajiri. Tena Mungu anaweza kumwinua huyo mchoma mahindi akapata mteja wa kumpa connection ya biashara ingine na baada ya mwaka ukamkuta yuko matawi ya juu. Usichague kazi mradi ni kazi halali kisheria
 
IT ameshindwa kujiongeza hata akaanza kutengeneza simu?
Acheni utani na mtaji nyie, umtoka Kijiji wazazi wameungaunga mpaka umetoboa chuo.
Umemaliza huna mbele wala nyuma ukirudi Kijiji wazazi ndiyo wanakuangalia na kukutegemea wewe.
So inabidi ujibanze town kwa washikaji unapiga mizinga mpaka unachokwa kila kona, kutuma CV iwe hard/soft copy ni hela, hakuna anayekujua mjini.

Kupata kazi ni kujuana/ ushikwe mkono otherwise hamna kitu.
Kuna kazi nyingine mtu anayekushika mkono tu anakuwa kama referee wako incase of anything.

Kama hujawahi kuchezacheza na simu asikudanganye mtu from the fist time ukitupiwa simu hiyo mbovu huwezi tengeneza kitu zaidi ya kuwa tapeli kama wale kule mitaa ya aggrey
 

We nae hueleweki sasa.
Umekuja hapa na stori ya mtu wa IT akichoma mahindi, baada ya watu kukuambia huyo mtu ni boya umeanza lukia kuhusu wanasheria ambao hawana mihuri yaani ni vilaza ........

Au huyo aliyesomea soil sayansi ila anashindwa hata kuwa na bustani
 
Mkuu waache watu waponde humu. waaache waendelee kuamini kwamna anajidharirisha.

Huko makazini watu mbona wanalipwa pesa za ajabu?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi yeyote ikiwa halali na inakupatia kipato,halali,inabaraka Mbele za Mungu. Napenda sana kijana kufanya maamuzi magumu sio kukaa at unasubiria ajira za serikali, au kutembea na vyeti
Barabarani kila kukicha. Big up Sana jembe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa lazima umhurumie mtu km huyu kuchoma mahindi kaanzia mbali sana alitakiwa adeal na mambo aliyosomea hivyo ni km ana evaporate matirio yake kichwani
Humu nadili na watu wenye mawazo mfu.

Je angekaa nyumbani? kwani mahindi anauza Madawa ya kulevya? ni bangi ile?

Hapati pesa halali? au kwako.pesa halali ni ipi?

Kwenye IT si anatafuta pesa? kwenye mahindi si anatafuta pesa?

Au shida ni mahindi?

Mlitaka nisema kapata kazi hotelini?

Make ningesema kapata kazi hotelini mgeunga mkono.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kwamba anaipenda hiyo kazi... anaifanya tu ili tu siku zisonge
Wewe ndo unaye sema sio yeye, Je angekuwa anauza magari vipi ingekuwa ni siku ziende?

Au siku ziende kwa sababu anauza Mahindi?

So anasukuma siku kwa sababu anauza Mahindi? sijapata logic yako hapo.

Je angejuwa mb be amefungua Saliin je vipi hapo? Je angekuwa na Yard ya kuuza Magari vipi hapo?

Hahahaa wewe Hapo ulipo ajiliwa husukumi siku?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umefurahi??
Ndio mfanyia watu kazi wewe hapo unalipwa na mtu mmoja. Unalipwa na mtu mmoja.

Yeye analipwa na watu zaidi ya 400 wanai nunua mahindi kwake.

Wewe anaye kulipa akikohoa tu huna ujanja ndo mwisho wako.

Yeye analipwa na watu zaidi ya 200.

Yeye ni tajiri. Mengi analipwa na watu wangapi?

UJUE ADUIA WA MASIKINI KUTO KUSONGA MBELE NI MASIKINI WENZAO.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: JMF
Jamaa anatengeneza story yake ya mafanikoa watu wanaponda.

Ni mara 100 wanaona akae nyumbani hata miaka 5 bika kazi ila si afanye anacho fanya.

Mentatilty za Kibongo hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wa bongo tunashida sana aisee, mbaya zaidi huwa hatuangalii muda tunaopoteza kila siku kuhaika na mibahasha tuu, mtu anakaa home zaidi ya miaka mitano nyumbani kila siku anapiga mizinga tu home hajishughulishi na chochote na siku zinaenda akija kustuka hivi muda umemuacha, me naamini jamaa anatengeneza historia tu, mambo yatakuwa mazuri tu ,aendelee kufanya kazi zake kwa bidii tu mungu yuko pamoja nae
 
Huyo sio IT lover kasoma hiyo fani kwa kufuata mkumbo, mbona kuna mambo mengi ya kufanya na kukuingizia Pesa through IT
Acha ujinga basi, yeye anajua anacho fanya sawa? wewe una nini? anaye kulipa akifa ndo mwisho wa ujanja wako.

Yeye anajua malengo yake.

Tatizo ni mahinid najua ila ningepresent ana unza taili za Magari mngeshangilia.



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Yaani umeamua kuja kunianika huku?Kilichokifurahisha ni kipi?

May Allah bless Me and You
 
Mkuu mentality za wasomi unazijua kweli?

Hahaha Wasomi kwao biashara ni either Salooni, Toyo, Dalaldala, Hardware anamuweka mke pale.

Yaani zingine kwao sio biashara, nashangaa Third part ndo wanaona sio biashara na wao ndo wanamuhurumia anaye ona ni biashara kama zingine.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ugali pot, maziwa friji hawawez jua hali ya maisha ndomana wana wana andika ....&$$__$$((_$$$$@

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…