Jana ilikuwa siku ya Furaha kukutana na Graduate anachoma mahindi Barabarani

Wewe ulio yasoma yote kuanzia Shule ya.msingi una ya upply?.

Angejuwa anauza Magari msingeongea najua fika.

Kuongea ni kwa sababu anachoma.mahindi ila ningesema anauza Magari kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi still nina maongezi naye na kuna kitu nashauriana naye ipo siku watu watabakia.midomo wazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mind set afikiri kufanyaje?.Usha wahi some histori za makumbuni makubwa yalivyo anza?

Hayo mahindi hujui anawez siku moja kupack na ku export?.

Mind set gani wak wewe hapo uko kazin kwa watu?

Sent using Jamii Forums mobile app

We ndugu usitake kutudanganya hapa, tueleze hayo makampuni makubwa yalianzaje, wengi wa waanzilishi wa hayo makampuni walianzia chini lakini idea ilikuwa inaendana na fani zao, kuanzia chini hatukatai, lakini unaanzia kuchoma mahindi, sasa IT alisoma ya nini, kwa nini asianzie basi hata kwa kutengeneza charger zilizoharibika
 
Hahhahahahah....we jamaa huyo mchizi kakudanganya,IT hadi uuze mahindi ya kuchoma mchezo,kama kweli hana akili ya kujiongeza!....unashindwa hata kutengeneza simu,au ukafungua kaframe uwe unadesign card
Wewe lakini si umejairiwa? Yeye na wewe nani mjanja? Yeye masaa yote 24 anayatumia.mwenyewe.

Hafanyi kazi kwa mtu, Anafanya yake mwenyewe na malengo yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi nielewa milele na Daima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanao ponda hapa wanalipwa laki 5 na madeni kibao ndo wanao ponda.

Ila mshikaji anaingiza pesa watu wanaponda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo
Wewe ulio yasoma yote kuanzia Shule ya.msingi una ya upply?.

Angejuwa anauza Magari msingeongea najua fika.

Kuongea ni kwa sababu anachoma.mahindi ila ningesema anauza Magari kimya

Sent using Jamii Forums mobile app

Ujue tatizo si yeye, ukute hata hiyo IT yenyewe amekudanganya ili tu umuonee huruma, ukute hata kozi moja ya IT hajawahi fanya toka amezaliwa zaidi anajua kuingia Facebook tu, hakuna tofauti na kitu zaidi ya hicho
 
Ndo maana yangu.

Pia Kwani Graduate hawezi choma mahindi? kuna usipecial gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mentality za kimasikini mno. Endelee kushangaa kuna siku utaenda kuomba kazi kwake wewe au ndugu yako au watoto wako. Endelea kushangaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe lakini si umejairiwa? Yeye na wewe nani mjanja? Yeye masaa yote 24 anayatumia.mwenyewe.

Hafanyi kazi kwa mtu, Anafanya yake mwenyewe na malengo yake

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimecheka coz na mimi sijaajiriwa nilianza kujitegemea zamani sana....tena nilianza na kutengeneza simu kitambo hicho 8yrs back....pengine mawazo na itikadi tofauti
 
Wewe ulio yasoma yote kuanzia Shule ya.msingi una ya upply?.

Angejuwa anauza Magari msingeongea najua fika.

Kuongea ni kwa sababu anachoma.mahindi ila ningesema anauza Magari kimya

Sent using Jamii Forums mobile app

Unajua mabo mengine tuwe tunajenga hoja za kueleweka, wewe pia ungemkuta anauza magari usingepost humu, umepost kwa sababu anachofanya hakiendani na akili na uelewa wa watu wengi, ndio maana na wewe ukaona hicho ni kituko.

Kama mtu anauza magari utanshangaa nini wakati magari yasiku hizi mifumo ya umeme na IT imechukua nafasi kubwa, huenda kawa anasaidia katika hilo, biashara ya magari bila e-commerce unaifanyaje, unadhani Beforward, AUTOREC, TRADECARVIEW, ENHANCE AUTO na wauzaji wengine wengi huko Japan hawana wataalamu wa IT,

Sasa wewe tuambie uhusiano wa IT na kuchoma mahindi, sio kuleta hoja za kuchanganya, tunasema si angeanza na kutengeneza simu, hilo limemshinda vipi.
 
Unajua.lengo langu? Fuatilia.post zangu za nyuma utaelwa maana yangu.

Jaribu kupitia post zangu utaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh. Mm nlpomaliza chuo nlianza kuchoma chps watu walinisema snaa. Dgree holder nachoma chps. Lakn nashukuru mola niliweza kujenga kuptiaa chps. Now nna kaz lkn nna cha kujvna na chps zngu nlzopkiaa watu. Sitoiacha biashara hii pmoja na ya kuuza kitimoto daimaaaa hta npte kaz ya milioni mia per day

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu ibariki kazi ya mikono yake.Hata idara tunazozitegemea ziajiri hazina kitu.walimu,madaktari,na wengine wamesugua jinsi mpaka wamechoka.Mbele kwa mbele ndi ndi *2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…