Jana kama Team ya Taifa ingepoteza, Wachezaji wote baada ya Mechi uelekeo ulikua Kariakoo.

Jana kama Team ya Taifa ingepoteza, Wachezaji wote baada ya Mechi uelekeo ulikua Kariakoo.

Powder

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2016
Posts
4,977
Reaction score
6,635
Kuna Mashabiki wa Team ya Taifa Jana walikua wamejipanga Kwa Mkapa, wakisema wamechoka na Maumivu ya kufungwa.

Team imekua Kama Homa ya Vipindi, Tena ni Bora Team ya Taifa ikawa inacheza tu away ambapo mara hufanya Vizuri kuliko ikicheza Nyumbani.

Walichofanya Wakawa Wana organize support toka Kwa Watanzania wengine waliokuwepo Uwanjani.

Wakasema Kabisa kama tusipofuzu, baada ya Mechi, wao Mashabiki wakiwa Nyuma na Wachezaji wote wa Team ya Taifa waongoze wenyewe njia kwenda Kariakoo kusaidia kutafuta Majeruhi ....!


Hongereni Taifa Star Kwa kufuzu AFCON 2025.
 
Back
Top Bottom