Kwa kosa gani dreva apigwe, hizo hasira zinapaswa zielekezwe sehemu sahihi iliyoshindwa kusimamia ubora wa hudumaBadala muungane mmtandike huyo dereva mmnawaachia wamama tena wenye watoto. Fala nyie
Jana saa 2 kivukoni umetokea ugomvi wa kupigana yaani dereva kakunjwa shati , mmama alipanda na mtoto gari likajaa full wakamshauri dereva apitilize ferry hali ni mbaya dereva akasimama posta ya zamani akashindilia abiria tena alafu akawa anaendesha huku anapiga breki ili milango ifuge watu washindiliwe ndani kumbe ile kupiga breki watu wakadondoka wakalalia kile kichanga nusu kife yule mama akapiga makelele mwanangu anakufaaa nisaidieni
Gari kufika ferry watu kushuka wamama wawili wenye watoto wachanga wakamfuata dereva zikaanza ngumi jamani hii nchi hapana
Tulimsaidia ndioBadala muungane mmtandike huyo dereva mmnawaachia wamama tena wenye watoto. Fala nyie
Hahaha, wewe mamaBadala muungane mmtandike huyo dereva mmnawaachia wamama tena wenye watoto. Fala nyie
Yaani watu WA dar utadhani wote wanavaa vipensi hata kuvunja biskuti hawawezi.Badala muungane mmtandike huyo dereva mmnawaachia wamama tena wenye watoto. Fala nyie
Na cha ajabu zile mwendokasi za rangi ya kijani tayari zipo bandarini muda tu sijui wanangoja nini kuzitoa na wananchi wanazidi kuteseka.Nimepita mbezi mwisho kama Β½ saa hivi, hiyo nyomi hapo ni hatari, ni ishara mbaya sana kwa mtu kuitwa kiongozi na watu wako wanateseka namna hii.
Zile za kijani ni za phase 2. Mbagala-Gerezani-Kivukoni na ni mwekezaji tofauti hazihusiani na phase 1Na cha ajabu zile mwendokasi za rangi ya kijani tayari zipo bandarini muda tu sijui wanangoja nini kuzitoa na wananchi wanazidi kuteseka.
Jana saa 2 kivukoni umetokea ugomvi wa kupigana yaani dereva kakunjwa shati , mmama alipanda na mtoto gari likajaa full wakamshauri dereva apitilize ferry hali ni mbaya dereva akasimama posta ya zamani akashindilia abiria tena alafu akawa anaendesha huku anapiga breki ili milango ifuge watu washindiliwe ndani kumbe ile kupiga breki watu wakadondoka wakalalia kile kichanga nusu kife yule mama akapiga makelele mwanangu anakufaaa nisaidieni
Gari kufika ferry watu kushuka wamama wawili wenye watoto wachanga wakamfuata dereva zikaanza ngumi jamani hii nchi hapana
Abiria nao wakaununua ugomvi yule udereva nusu auliwe
Basi wa phase 1 mateso yao yatazidi kuongezeka, juzi kuna moja lilifia kabla ya kituo cha posta likiwa na abiria ndani. Na kituoni kulikuwa kumejaa abiria mpaka unawahurumia.Zile za kijani ni za phase 2. Mbagala-Gerezani-Kivukoni na ni mwekezaji tofauti hazihusiani na phase 1
Hii ndiyo CCM inayotaka itutawale milele,hakuna wanachojua zaidi ya kuibaJana saa 2 kivukoni umetokea ugomvi wa kupigana yaani dereva kakunjwa shati , mmama alipanda na mtoto gari likajaa full wakamshauri dereva apitilize ferry hali ni mbaya dereva akasimama posta ya zamani akashindilia abiria tena alafu akawa anaendesha huku anapiga breki ili milango ifuge watu washindiliwe ndani kumbe ile kupiga breki watu wakadondoka wakalalia kile kichanga nusu kife yule mama akapiga makelele mwanangu anakufaaa nisaidieni
Gari kufika ferry watu kushuka wamama wawili wenye watoto wachanga wakamfuata dereva zikaanza ngumi jamani hii nchi hapana
Abiria nao wakaununua ugomvi yule udereva nusu auliwe
Tena mtu ana mtoto mchanga bado unakapandisha mwendo kasi katoto kwa video zile tunaziona mtandaoni si ukichaa huo.
Hawajitambui hao..
Hili ndio tatizo la madereva wengiakashindilia abiria
UnafkisimHalafu hapo hapo kuna bango linasema "Mama Kaboresha Usafiri". πππ