Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
Naskia huko Mwanza kuna Bar moja imefungiwa kwa kukwepa Kodi kwa miaka miwili na ipo kwenye halmashauri ya Ilemela. Basi nikajiuliza miaka miwili wameweza vp kukwepa ila kumbe ishu nyuma ya pazia ni mambo ya Bandari. Matajiri wakubwa nchini wote ni CCM unadhani wamependa kua CCM wapo ili kulinda biashara zao. Kijana jiajiri na ukianza kufanikiwa kua mwana CCM ili kulinda biashara yako.