Jana ndio nimeelewa kwanini GSM, MO, ASAS, BAKHRESA wote ni CCM

Jana ndio nimeelewa kwanini GSM, MO, ASAS, BAKHRESA wote ni CCM

Kwenye biashara ya kahawa...nimeweka bendera ya ccm
Pale kinondoni kanisani viwanja vya biafra, wale wauza vitanda siku moja walipandisha bendera ya CUF, kilichowapata, ilibidi wairudishe bendera ya CCM. Maana siku ya pili tu waliambiw waondie vitanda vyao, pale si sehemu ya kufanyia biashara.

FAMASIALA NINI..!!
 
Naskia huko Mwanza kuna Bar moja imefungiwa kwa kukwepa Kodi kwa miaka miwili na ipo kwenye halmashauri ya Ilemela. Basi nikajiuliza miaka miwili wameweza vp kukwepa ila kumbe ishu nyuma ya pazia ni mambo ya Bandari. Matajiri wakubwa nchini wote ni CCM unadhani wamependa kua CCM wapo ili kulinda biashara zao. Kijana jiajiri na ukianza kufanikiwa kua mwana CCM ili kulinda biashara yako.View attachment 2719770
Umenikumbusha Mbowe pia ni ccm!
 
Naomba kukurekebisha kidogo " ukianza kufanikiwa kuwa mwana CCM" ilitakiwa iwe "ukianza kufanikiwa kuwa mwanachama wa chama tawala"
 
Naskia huko Mwanza kuna Bar moja imefungiwa kwa kukwepa Kodi kwa miaka miwili na ipo kwenye halmashauri ya Ilemela. Basi nikajiuliza miaka miwili wameweza vp kukwepa ila kumbe ishu nyuma ya pazia ni mambo ya Bandari. Matajiri wakubwa nchini wote ni CCM unadhani wamependa kua CCM wapo ili kulinda biashara zao. Kijana jiajiri na ukianza kufanikiwa kua mwana CCM ili kulinda biashara yako.View attachment 2719770

Pichani kwenye mtaro kafanana na Tajiri Issa Tambuu Motors.
 
Hapo sasa unaongelea siasa za kimataifa na sio local politics. Hao KFC na Pepsi hawawezi kufungiwa kisa MD wao anaunga mkono Democrats au Republicans.
Watu wa siasa wanachotaka ni stability katika nafasi zao kisiasa, ukishaanza kuwa threat kwenye hizo nafasi wanakuwa threat kwenye biashara zako.

Hata upinzani, kinachotafutwa ni stability ya nafasi ya kisiasa. Hakuna kupendana hapa, mfanya biashara yoyote akili hii anayo na anajua hakuna mwanasiasa wa chama chochote ambaye ni wa kufa na kuzikana naye.
 
Kwa kifupi, huwezi kufanya biashara na ukawa kinyume na serikali hapa Afrika
Wakina Ndesaburo mbona walikuwa wanafanya? Nchi imejaa waoga sana hawa yaani uoga utatuisha siku tukaingia kabulini. Mbowe alikuwa anafanya Biashara na awamu ya.Magufuri ni sema walianza hadi kufanya yale mambo ya plundering and looting
 
Hivi Mbowe nae si ni mfanyabiashara?
Kuna wapinzani kibao walikuwa wanafanya biashara zao na ni wapinzani na wanajulikana fika, Wakina Ndesa pesa enzi zake, shida wabongo wamejaa biashara za magumashi zile za Mision town ndio maana wanaona hawawezi toboa bila CCM
 
Hata tenda chafu zinapatikana ukiwa kijani. Unakuwa na mtaji mdogo, inatokea tenda lakini kwenye ushindani unachukua point 3 mapema tu.
 
Back
Top Bottom