Jana ndio nimeelewa kwanini GSM, MO, ASAS, BAKHRESA wote ni CCM

Mkuu ukiona ni mpinzani na unafanya biashara zako bila shida, ni wenyewe hawajaamua kukuvuruga.
Sio haaajaaamua sikiliza kama ndio ujinga tunawarithisha watoto wetu kuna shida sana, na ujinga mwingine ni ile nyie mnaenda kujipendekza kwa askari polisi au trafiki ili kupata ahueni, Kuna wapinzani kibao wana biashara zao.

Tatizo ni ujinga ulio wajaaa na huu ujina wa uoga mbawarithisha watoto wenu, ndio mambo ya kuja kuwa kama wakina Mwijaku
 
Tatizo Wabongo biashara hazina mnfumo kama za Wakenya
Mwigu kakupua kaenda nunua mabasi bila mpangilio mara kanunia timu ya mpira haeleweki ukichaa wa pesa
Mbona kuna wapinzania kibao tu wana biashara Tanzania? Unazania hao wapinzania ulikuwa kuwa unaona hasa wabunge unazani hawakua na Investment?
 
Naskia huko Mwanza kuna Bar moja imefungiwa kwa kukwepa Kodi kwa miaka miwili na ipo kwenye halmashauri ya Ilemela. Basi nikajiuliza miaka miwili wameweza vp kukwepa ila kumbe ishu nyuma ya pazia ni mambo ya Bandari. Matajiri wakubwa nchini wote ni CCM unadhani wamependa kua CCM wapo ili kulinda biashara zao. Kijana jiajiri na ukianza kufanikiwa kua mwana CCM ili kulinda biashara yako.View attachment 2719770
Kwa hio kwa sababu ya Bandari watu wasilipe KODI?
 
Naskia huko Mwanza kuna Bar moja imefungiwa kwa kukwepa Kodi kwa miaka miwili na ipo kwenye halmashauri ya Ilemela. Basi nikajiuliza miaka miwili wameweza vp kukwepa ila kumbe ishu nyuma ya pazia ni mambo ya Bandari. Matajiri wakubwa nchini wote ni CCM unadhani wamependa kua CCM wapo ili kulinda biashara zao. Kijana jiajiri na ukianza kufanikiwa kua mwana CCM ili kulinda biashara yako.View attachment 2719770
Umejua late sana. Kunako 1995 SS Bakhresa alituhumiwa kuwasapoti CUF kule visiwani ambao walikuwa na nguvu sana miaka hiyo. Matokeo yake ngano yake ikazamishwa baharini kule bandarini. Akapeleka kesi mahakamani, akashinda. Serikali ikamlipa fidia, ndio kile kiwanda cha Buguruni ambacho kilikua cha taasisi ya National Milling ya serikali!
 
Naskia huko Mwanza kuna Bar moja imefungiwa kwa kukwepa Kodi kwa miaka miwili na ipo kwenye halmashauri ya Ilemela. Basi nikajiuliza miaka miwili wameweza vp kukwepa ila kumbe ishu nyuma ya pazia ni mambo ya Bandari. Matajiri wakubwa nchini wote ni CCM unadhani wamependa kua CCM wapo ili kulinda biashara zao. Kijana jiajiri na ukianza kufanikiwa kua mwana CCM ili kulinda biashara yako.View attachment 2719770
Aahaaaaa
 
Ujinga huu upo sana Tanzania.Nchi kama kenya wafanyabiashara wakubwa wanasupport upinzani lakini hautasikia biashara zao zimefungwa..
 
Sio haaajaaamua sikiliza kama ndio ujinga tunawarithisha watoto wetu kuna shida sana, na ujinga mwingine ni ile nyie mnaenda kujipendekza kwa askari polisi au trafiki ili kupata ahueni, Kuna wapinzani kibao wana biashara zao.

Tatizo ni ujinga ulio wajaaa na huu ujina wa uoga mbawarithisha watoto wenu, ndio mambo ya kuja kuwa kama wakina Mwijaku
We unaita ujinga, wenzako wanaita reality za kufanya biashara. Become a businessman kwanza ndio uje ulete hiyo injili; kwenye nchi ambazo hakuna msingi wa demokrasia na uhuru, biashara na serikali zinakwenda pamoja. Kwamba kuna watu wachache waliofanikiwa kuendesha biashara na kuwa wapinzani, hizo ni exceptions, na huwezi jua ni kitu gani wanalipa ili kubaki hapo.

Mifano ya watu waliovurigiwa biashara ni mingi kwa sababu ya siasa ni mingi sana.
 
Nakumbuka Jacob Zuma alisema kua,nanukuu,ni mfanyabiashara mjinga pekee ambae hayupo chama tawala
Hata hapo Rwanda hakuna mfanyabiashara atathubutu hata kumkarobisha mpinzani dukani kwake 😂😂
 
Naskia huko Mwanza kuna Bar moja imefungiwa kwa kukwepa Kodi kwa miaka miwili na ipo kwenye halmashauri ya Ilemela. Basi nikajiuliza miaka miwili wameweza vp kukwepa ila kumbe ishu nyuma ya pazia ni mambo ya Bandari. Matajiri wakubwa nchini wote ni CCM unadhani wamependa kua CCM wapo ili kulinda biashara zao. Kijana jiajiri na ukianza kufanikiwa kua mwana CCM ili kulinda biashara yako.View attachment 2719770
Umechelewa sana kuelewa 😁😁

Ccm wakija dukani kwako kuomba mafuta wewe wanyime au uwe unawakaribisha Wapinzani kazini kwako utakuja kujua unajua aunhunui 🤣🤣
 
Ujinga huu upo sana Tanzania.Nchi kama kenya wafanyabiashara wakubwa wanasupport upinzani lakini hautasikia biashara zao zimefungwa..
Kule Kuna taasisi na Vyama 2 vyenye Nguvu ila manyanyaso Kwa Wapinzani Yako pale pale.
 
Back
Top Bottom