Kijana jiajiri na ukianza kufanikiwa kua mwana CCM ili kulinda biashara yako
Tukijipendekeza kwa chama dola kongwe kabla ya kufikia viwango vya GSM, MO, ASAS, BAKHRESA Group of Companies etc tutaishia kuwa matajiri-uchwara. Makampuni hayo makubwa yanaogopewa na serikali kwani ndiyo walipa kodi wakubwa tajwa.
Kwa maana hizi, ukiambiwa wewe ni tajiri uchwara petty bourgeoisie au Don nadie , maana yake utajiri wako bado haujafikia kiwango halisi cha kutambulikana. Wewe ni utaendelea kuwa tajiri wa chini atakaye filisika kabisa muda wowote ule.