Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
Ukitaka mambo yako yasiharibike jiunge CCM. Ukiwa mwizi jiunge CCM. Ukiwa mtu wa biashara chafu jiunge CCM .Hakuna atakayekuguza.Naskia huko Mwanza kuna Bar moja imefungiwa kwa kukwepa Kodi kwa miaka miwili na ipo kwenye halmashauri ya Ilemela. Basi nikajiuliza miaka miwili wameweza vp kukwepa ila kumbe ishu nyuma ya pazia ni mambo ya Bandari. Matajiri wakubwa nchini wote ni CCM unadhani wamependa kua CCM wapo ili kulinda biashara zao. Kijana jiajiri na ukianza kufanikiwa kua mwana CCM ili kulinda biashara yako.View attachment 2719770
Na maisha yanaenda..Kwenye biashara ya kahawa...nimeweka bendera ya ccm
Hapo sasa unaongelea siasa za kimataifa na sio local politics. Hao KFC na Pepsi hawawezi kufungiwa kisa MD wao anaunga mkono Democrats au Republicans.Kwenye Organisational Management kuna sehemu wanasema,"for any organisation to survive, it must change according to the prevailing political situation". Kiongozi wa taasisi yoyote makini Tanzania, Afrika na duniani kwa ujumla, anatakiwa kulijua hili. Nikuulize kwa mfano, kwanini makampuni ya Coca Cola, Pepsi na KFC kutaja kwa uchache yamefunga biashara zao Urusi?
Ahahahahaha!!!!Hapo sasa unaongelea siasa za kimataifa na sio local politics. Hao KFC na Pepsi hawawezi kufungiwa kisa MD wao anaunga mkono Democrats au Republicans.
Billicanas bado ipo? ππππ₯Hivi Mbowe nae si ni mfanyabiashara?
NCHI INA WATU WENTE ROHO MBAYA ILA TUTAONA MBINGUNI KAMA KUWA CCM UTEENDA PEPONI AU MOTONINaskia huko Mwanza kuna Bar moja imefungiwa kwa kukwepa Kodi kwa miaka miwili na ipo kwenye halmashauri ya Ilemela. Basi nikajiuliza miaka miwili wameweza vp kukwepa ila kumbe ishu nyuma ya pazia ni mambo ya Bandari. Matajiri wakubwa nchini wote ni CCM unadhani wamependa kua CCM wapo ili kulinda biashara zao. Kijana jiajiri na ukianza kufanikiwa kua mwana CCM ili kulinda biashara yako.View attachment 2719770