kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Jana bana baada ya kazi kumbe nilipita bar flani kusuuza koo.nikapiga konyagi kubwa ile nikazima,sasa muda umeenda wahudumu wakaniamsha kuwa wanataka kufunga niondoke,me kwa utani nikawaambia niitieni police wanisindikize nyumbani,bahati nzuri kuna gari la doria la police likapita wakaitwa,kufika me nikawaambia nimezidiwa na kilaji hivyo siwezi kuendesha gari naomba wanipeleke nyumbani,wakaniuliza nyumbani kwangu ni wapi nikawaelekeza,wakaniambia niingie kwenye landcruzer Lao lile nikaingia wakanipeleka mpaka getini nyumbani.gari langu nimelipitia asubuhi pale bar.
Police wema bado wapo na wanatekeleza majukumu yao vizuri tu.
Police wema bado wapo na wanatekeleza majukumu yao vizuri tu.