Jana nilibahatika kusindikizwa na police mpaka nyumbani baada ya kuzidiwa na kilevi.

Jana nilibahatika kusindikizwa na police mpaka nyumbani baada ya kuzidiwa na kilevi.

Mtu unajisifia kunywa mpaka kuzima data Nchi yenyewe hii wahuni kibao wengine wanatafuta pesa za masharti wanatafuta fursa kama hiyo yako ili warudi kwa waganga wao endelea kutangaza unazima data utakuja kuandika tena humu baada ya kuzima data ilikuaje...
 
Back
Top Bottom