We jamaa hahahHapana,they were very friendly.
😂😂😂😂Hakuna sehemu unasikia maumivu makali?
Hata mwandiko tu unaonesha ulilewa burugutu!Jana bana baada ya kazi kumbe nilipita bar flani kusuuza koo.nikapiga konyagi kubwa ile nikazima,sasa muda umeenda wahudumu wakaniamsha kuwa wanataka kufunga niondoke,me kwa utani nikawaambia niitieni police wanisindikize nyumbani,bahati nzuri kuna gari la doria la police likapita wakaitwa,kufika me nikawaambia nimezidiwa na kilaji hivyo siwezi kuendesha gari naomba wanipeleke nyumbani,wakaniuliza nyumbani kwangu ni wapi nikawaelekeza,wakaniambia niingie kwenye landcruzer Lao lile nikaingia wakanipeleka mpaka getini nyumbani.gari langu nimelipitia asubuhi pale bar.
Police wema bado wapo na wanatekeleza majukumu yao vizuri tu.
Kusema kweli hii ndiyo kazi ya polisi,kulinda na kuokoa watu na mali zao.Wengi hawajui wanadhani ni kukamata tu.na hata ukikamatwa ujue kuna mtu au watu wanalindwa na ukorofi wako.Nawapongeza polisi haoJana bana baada ya kazi kumbe nilipita bar flani kusuuza koo.nikapiga konyagi kubwa ile nikazima,sasa muda umeenda wahudumu wakaniamsha kuwa wanataka kufunga niondoke,me kwa utani nikawaambia niitieni police wanisindikize nyumbani,bahati nzuri kuna gari la doria la police likapita wakaitwa,kufika me nikawaambia nimezidiwa na kilaji hivyo siwezi kuendesha gari naomba wanipeleke nyumbani,wakaniuliza nyumbani kwangu ni wapi nikawaelekeza,wakaniambia niingie kwenye landcruzer Lao lile nikaingia wakanipeleka mpaka getini nyumbani.gari langu nimelipitia asubuhi pale bar.
Police wema bado wapo na wanatekeleza majukumu yao vizuri tu.
Aione Kamanda Murilo kwenye JaradaJana bana baada ya kazi kumbe nilipita bar flani kusuuza koo.nikapiga konyagi kubwa ile nikazima,sasa muda umeenda wahudumu wakaniamsha kuwa wanataka kufunga niondoke,me kwa utani nikawaambia niitieni police wanisindikize nyumbani,bahati nzuri kuna gari la doria la police likapita wakaitwa,kufika me nikawaambia nimezidiwa na kilaji hivyo siwezi kuendesha gari naomba wanipeleke nyumbani,wakaniuliza nyumbani kwangu ni wapi nikawaelekeza,wakaniambia niingie kwenye landcruzer Lao lile nikaingia wakanipeleka mpaka getini nyumbani.gari langu nimelipitia asubuhi pale bar.
Police wema bado wapo na wanatekeleza majukumu yao vizuri tu.
Unakumbuka vzr balance b4 and after police escort?Zipo chief