Kevzy
JF-Expert Member
- May 23, 2026
- 976
- 1,712
Duuh
Usiku, nimeoga na kusali na kujiandaa kupanda kitandani nikateleza na kuanguka kwa maumivu makali nikajikongoja mpaka kitandani, katika kuugulia nikagundua nimepasuka kichwani na damu zinanitoka, damu nyingi sana cha ajabu asubuhi nimeamka bila jeraha ila damu nimezikuta kitandani japo sio nyingi.
Baada ya muda kidogo maumivu yakawa makali zaidi, nikataka nijikongoje nichukue simu nipigie ndugu na jamaa niombe msaada nilishindwa, maumivu makali sana, nilikuwa napiga makelele kwa maumivu na kuita nikifikiri majirani watanisikia lakini hawakunisikia, nikapoteza fahamu hapo nafikiri ndio nilikufa.
Nimeamka asubuhi, sina jeraha kichwani ila damu kidogo nimeziona kwenye tiles na kwenye shuka, nafikiri nimepewa chance ya kuendelea.
Daah