Jana nilikufa wakuu, cha ajabu leo asubuhi nimeamka, haikuwa ndoto

Duuh

Usiku, nimeoga na kusali na kujiandaa kupanda kitandani nikateleza na kuanguka kwa maumivu makali nikajikongoja mpaka kitandani, katika kuugulia nikagundua nimepasuka kichwani na damu zinanitoka, damu nyingi sana cha ajabu asubuhi nimeamka bila jeraha ila damu nimezikuta kitandani japo sio nyingi.

Baada ya muda kidogo maumivu yakawa makali zaidi, nikataka nijikongoje nichukue simu nipigie ndugu na jamaa niombe msaada nilishindwa, maumivu makali sana, nilikuwa napiga makelele kwa maumivu na kuita nikifikiri majirani watanisikia lakini hawakunisikia, nikapoteza fahamu hapo nafikiri ndio nilikufa.

Nimeamka asubuhi, sina jeraha kichwani ila damu kidogo nimeziona kwenye tiles na kwenye shuka, nafikiri nimepewa chance ya kuendelea.

Daah
Aminaaaa
 
Yote haya chanzo ni CCM
 
Ulikuwa Ndotoni Wewe !!!! Nusu Saa Ya Mshale
 
Nimegundua kwanini serikali inapiga vita sana bange
 
Kuna miaka mitatu nyuma kuna jamaa alikuwaga anaandika mauzauza kama haya,mara usiku aligeuka nyoka,mara kenge alikula ban😅😅
Niliwaomba wanipige ban, moderater amekataa
 
Back
Top Bottom