Yani udondoke tu chini alafu upasuke na kichwa??. Kuwa serious basi 🤔 🤔Duuh
Usiku, nimeoga na kusali na kujiandaa kupanda kitandani nikateleza na kuanguka Kwa maumivu makali nikajikongoja mpaka kitandani , katika kuugulia nikagundua nimepasuka kichwani na damu zinanitoka , damu nyingi sana cha ajabu asubuhi nimeamka bila jeraha ila damu nimezikuta kitandani japo sio nyingi
Baada ya mda kidogo maumivu yakawa makali zaidi, nikataka nijikongoje nichukue simu nipigie ndugu na jamaa niombe msaada nilishindwa , maumivu makali sana , nilikuwa napiga makelele Kwa maumivu na kuita nikifikiri majirani watanisikia lakini hawakunisikia, nikapoteza fahamu hapo nafikiri ndio nilikufa
Nimeamka asubuhi, Sina jeraha kichwani ila damu kidogo nimeziona kwenye tiles na kwenye shuka, nafikiri nimepewa chance ya kuendelea
Daah
Mkuu umeanza weekend kwa vibe Sana aisee ,Duuh

Sinywagi mkuuMkuu umeanza weekend kwa vibe Sana aisee ,
Kwahiyo ulitumia mvinyo ghani Hadi ukawa Ivo?cc Mvinyo mpya
Basi angalia na kwenye pajama haijalowa kweli!?Sinywagi mkuu
Siumesema umerudi duniani au?!Seriously
Mtu akifa aangalii kitu