Jana nimebeba TV, laptop, pasi, vitana, vijiko, n.k kwa niliemdai, leo kanirudishia pesa, pesa ya ada ya mtoto ilifeli

Sijui hua ni kwanin watu hua wagum kulipa maden, yani mtu mpaka umfanyie action ndo alipe deni dah.
 
Huwa mnapata wapi ujasiri wa kudai deni? Mie nimeshindwa kabisa hili suala. Naishia kusema "Jah atanisaidia tyuuh".
 
Balaa linaanza pale unamdai milion moja, halaf vitu umechukua vya milion 3 halaf vinaharibika mikononi kwako [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Kwa jeuri na yeye anakupa 1m yako, afu anadai vitu vyake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa jeuri na yeye anakupa 1m yako, afu anadai vitu vyake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

kuna jamaa aliazimwa laki 7,akawa harudishi.

siku jamaa anakwenda kwenye tukio mhimu sana,mdai akamuotea na kumkaba akapora simu😆😆 ya laki mbili na nusu bila kujua ilikiwa mbovu spaker na ni nzito balaa.ila ina muonekano smart sana.

basi wakaachana,baada ya siku kama 2 hivi jamaa wakikutana jamaa anamcheki mshikaji kwa hasira tu hajui afanyaje😂😂.kumdai mtu yataka subira.
 
usijerudia huo upuuzi aisee,kwanza ni njia ya kujitia nuksi tu,kukopesha mtu ni kama kubeti,hivyo yafaa ukopeshe kiasi ambacho uko tayari kukipoteza.

haya umechukua tu tv umeenda umelivunja,macbook kumbe bovu haliwaki,siku anakuleta 1.5m yako halafu anakaa sebureni muanze kukagua kimoja kimoja,ndio utaona shida ilipo kwenye akili yako.
pesa yako inauma,ila vifaa vya mwenzako sio takataka pia,inaonyesha umekasirika alivyoku prove wrong kwa usiku mmoja tu😆😆😆,na bado anaitafuta amani kati yenu unajishtukia😂😂.

hayo ndio madhara ya kukurupuka kwenye maamuzi.
 

Ni mahakama pekee yenye uwezo wa kutoa maamuzi ya ulichokifanya, yani huyo angeenda tu Police, ungejuta kuzaliwa, usithubutu kufanya ujinga wa kuvamia mtu na kujipa uwezo wa kuchukua mali zake!
 
Ha ha ha !
Kama mbwai iwe mbwa tu!
Mi nimepoteza hel nyingi kwa kukopesha marafiki.
 
Huna huruma Had blanket mkuuu
 
Nakopeshaga mtu naemweza mkuu, sikopeshagi mtu tulielingana kuwezana au ananiweza, huyu niliemkopesha hawezi kusumbua chochote hata angeleta za kuleta angejuta.
 
Ni mahakama pekee yenye uwezo wa kutoa maamuzi ya ulichokifanya, yani huyo angeenda tu Police, ungejuta kuzaliwa, usithubutu kufanya ujinga wa kuvamia mtu na kujipa uwezo wa kuchukua mali zake!
Mkuu watu wengine sisi tuna connections, mtu kwanza kabla hajaenda huko polisi anajiuliza mara mbili mbili,

Kwa ufupi sisumbuliwi kiboya boya, Mimi ni mtu peace sana ila balaa langu lililowakuta waliowahi kuleta za kuleta wanalijua, Kiufupi hata uende polisi huko hufui dafu, Najuana na mapoti kibao tu, Sio mtu wa kuchezewa michezo ya kiboya mimi, Mtu nikimkopesha najua hata akivurugwa akaenda mbali ntamweza tu
 
Siku nyingine watakufunga wewe kuwa makini ya hiyo tip!
Mkuu itoshe kusema tu kwamba mtu naekompaga najua kabisa hajanizidi pesa, connections, power, n.k.

Huko polisi sijui wanaanzaje kwenda, maana hapo central ya sehemu nilipo najuana vizuri tu na hao mapoti, Hata naemkopa hawezi kuthubutu kufanya huu ukinga, sio kila mtu huwa anafungwa kiboya, angeenda huko nahisi angetiwa ndani yeye aanze kukopa upya hela ya kutoka.

Ole wake angeenda
 
Nakukumbusha usijiamini kupita kiasi katika haya maisha boss!
 
Ni mahakama pekee yenye uwezo wa kutoa maamuzi ya ulichokifanya, yani huyo angeenda tu Police, ungejuta kuzaliwa, usithubutu kufanya ujinga wa kuvamia mtu na kujipa uwezo wa kuchukua mali zake!
Sasa kama nakudai hulipi nifanyaje??
 
HII CHAI YA KITOTO KWELI. UMEKAA TU UKAWAZA UKAJENGA PICHA UKAONA UJE ANDIKA HAYA HUKU NA SISI WATU WAZIMA TUPO.
 
Nakukumbusha usijiamini kupita kiasi katika haya maisha boss!
Haka kabwana mdogo tu we angalia kanavyoandika unagundua hakajui kalisemalo. Achana nako. Wenye akili tumegundua hakana lolote kamemaliza shule kanaishi kwa shemeji yake.sasa kana jaribu ku imagine maisha
 
Nafikiri ukiwa na moyo laini na wahuruma wa kuweza kukopesha basi kopesha kiasi ambacho uko tayari kukipoteza,hii tena hasa kwa marafiki wa karibu.

Alikuja jamaa yangu kunikopa laki moja,lakini aina ya ukopaji wake na alivyokua akiongea nikahisi hapa kulipwa ni majaaliwa,

Nilichofanya ni kumkopesha 40'000.mwaka wa pili sasa na namba alishabadili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…