Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Sa mkuu kitana cha kazi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui hua ni kwanin watu hua wagum kulipa maden, yani mtu mpaka umfanyie action ndo alipe deni dah.Uvumililivu ulinishinda kiukweli.
Yani jamaa nilimkopa Novemba 28, kaja mikono nyuma kichwa chini na sauti ya kinyonge nikamkopa kiasi alichohitaji.
Baada ya kumaliza shida zake mshahara wake akapokea ila kimya, nilimwinda sana lakini nikimpigia hapokei, nikituma sms hajibu, whatsapp status akanizimia, nyumbani kwake akaanza kurudi usiku kunikwepa, n.k
Siku zote mtu nayemkopa mara nyingi inabidi niwe namjua na niwe na muweza ikija kutokea ubaya.
Jana, nimefikiria sana mambo ya ada ya mwanangu bila mafanikio nisijue pa kuitoa.
Nilichofanya nikampigia simu jirani wa nayemdai aniambie kama yupo, akasema yupo, huyo nikachukua kigari changu mpaka kwa jamaa.
Yani nimefika kwake sura ya mbuzi.
Akaanza maneno mimi nafanya vitendo, nilichukua tv (samsung inaenda kwenye laki 7 huko), laptop yake (ni hizi macbook zinaenda hadi milion 2), pasi, vikombe, sahani za udongo, kingamuzi, blanketi, n.k
Usiku ikawa anaomba msamaha kanicheleweshea na maneno mengi.
Leo asubuhi saa tano, nimepata muamala wangu vizuri kabisa, nikamwambia aje achukue takataka zake.
Kaja home kachukua ishu zake kaondoka, jioni ndio kaniomba msamaha wa kunizungusha mi nimemsamehe ila siji kusahau.
Shubamiti
Kwa jeuri na yeye anakupa 1m yako, afu anadai vitu vyake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Balaa linaanza pale unamdai milion moja, halaf vitu umechukua vya milion 3 halaf vinaharibika mikononi kwako [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Kwa jeuri na yeye anakupa 1m yako, afu anadai vitu vyake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uvumililivu ulinishinda kiukweli.
Yani jamaa nilimkopa Novemba 28, kaja mikono nyuma kichwa chini na sauti ya kinyonge nikamkopa kiasi alichohitaji.
Baada ya kumaliza shida zake mshahara wake akapokea ila kimya, nilimwinda sana lakini nikimpigia hapokei, nikituma sms hajibu, whatsapp status akanizimia, nyumbani kwake akaanza kurudi usiku kunikwepa, n.k
Siku zote mtu nayemkopa mara nyingi inabidi niwe namjua na niwe na muweza ikija kutokea ubaya.
Jana, nimefikiria sana mambo ya ada ya mwanangu bila mafanikio nisijue pa kuitoa.
Nilichofanya nikampigia simu jirani wa nayemdai aniambie kama yupo, akasema yupo, huyo nikachukua kigari changu mpaka kwa jamaa.
Yani nimefika kwake sura ya mbuzi.
Akaanza maneno mimi nafanya vitendo, nilichukua tv (samsung inaenda kwenye laki 7 huko), laptop yake (ni hizi macbook zinaenda hadi milion 2), pasi, vikombe, sahani za udongo, kingamuzi, blanketi, n.k
Usiku ikawa anaomba msamaha kanicheleweshea na maneno mengi.
Leo asubuhi saa tano, nimepata muamala wangu vizuri kabisa, nikamwambia aje achukue takataka zake.
Kaja home kachukua ishu zake kaondoka, jioni ndio kaniomba msamaha wa kunizungusha mi nimemsamehe ila siji kusahau.
Shubamiti
Ha ha ha !Uvumililivu ulinishinda kiukweli.

Huna huruma Had blanket mkuuuUvumililivu ulinishinda kiukweli.

Nakopeshaga mtu naemweza mkuu, sikopeshagi mtu tulielingana kuwezana au ananiweza, huyu niliemkopesha hawezi kusumbua chochote hata angeleta za kuleta angejuta.usijerudia huo upuuzi aisee,kwanza ni njia ya kujitia nuksi tu,kukopesha mtu ni kama kubeti,hivyo yafaa ukopeshe kiasi ambacho uko tayari kukipoteza.
haya umechukua tu tv umeenda umelivunja,macbook kumbe bovu haliwaki,siku anakuleta 1.5m yako halafu anakaa sebureni muanze kukagua kimoja kimoja,ndio utaona shida ilipo kwenye akili yako.
pesa yako inauma,ila vifaa vya mwenzako sio takataka pia,inaonyesha umekasirika alivyoku prove wrong kwa usiku mmoja tu😆😆😆,na bado anaitafuta amani kati yenu unajishtukia😂😂.
hayo ndio madhara ya kukurupuka kwenye maamuzi.
Mkuu watu wengine sisi tuna connections, mtu kwanza kabla hajaenda huko polisi anajiuliza mara mbili mbili,Ni mahakama pekee yenye uwezo wa kutoa maamuzi ya ulichokifanya, yani huyo angeenda tu Police, ungejuta kuzaliwa, usithubutu kufanya ujinga wa kuvamia mtu na kujipa uwezo wa kuchukua mali zake!
Gari siyo anasa, ni sawa tu na hicho kiatu ulichovaa.
Mkuu itoshe kusema tu kwamba mtu naekompaga najua kabisa hajanizidi pesa, connections, power, n.k.Siku nyingine watakufunga wewe kuwa makini ya hiyo tip!
Mkuu itoshe kusema tu kwamba mtu naekompaga najua kabisa hajanizidi pesa, connections, power, n.k.
Huko polisi sijui wanaanzaje kwenda, maana hapo central ya sehemu nilipo najuana vizuri tu na hao mapoti, Hata naemkopa hawezi kuthubutu kufanya huu ukinga, sio kila mtu huwa anafungwa kiboya, angeenda huko nahisi angetiwa ndani yeye aanze kukopa upya hela ya kutoka.
Ole wake angeenda
Sasa kama nakudai hulipi nifanyaje??Ni mahakama pekee yenye uwezo wa kutoa maamuzi ya ulichokifanya, yani huyo angeenda tu Police, ungejuta kuzaliwa, usithubutu kufanya ujinga wa kuvamia mtu na kujipa uwezo wa kuchukua mali zake!
Haka kabwana mdogo tu we angalia kanavyoandika unagundua hakajui kalisemalo. Achana nako. Wenye akili tumegundua hakana lolote kamemaliza shule kanaishi kwa shemeji yake.sasa kana jaribu ku imagine maishaNakukumbusha usijiamini kupita kiasi katika haya maisha boss!