[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeeh lolkuna jamaa aliazimwa laki 7,akawa harudishi.
siku jamaa anakwenda kwenye tukio mhimu sana,mdai akamuotea na kumkaba akapora simu[emoji38][emoji38] ya laki mbili na nusu bila kujua ilikiwa mbovu spaker na ni nzito balaa.ila ina muonekano smart sana.
basi wakaachana,baada ya siku kama 2 hivi jamaa wakikutana jamaa anamcheki mshikaji kwa hasira tu hajui afanyaje[emoji23][emoji23].kumdai mtu yataka subira.
HII CHAI YA KITOTO KWELI. UMEKAA TU UKAWAZA UKAJENGA PICHA UKAONA UJE ANDIKA HAYA HUKU NA SISI WATU WAZIMA TUPO.
Watoto wa mama tulieni, hizi show tuachieni wanaume.Haka kabwana mdogo tu we angalia kanavyoandika unagundua hakajui kalisemalo. Achana nako. Wenye akili tumegundua hakana lolote kamemaliza shule kanaishi kwa shemeji yake.sasa kana jaribu ku imagine maisha
Ulikutana na mjinga mwenzio tu, acha majigambo ya kipuuzi.Mkuu watu wengine sisi tuna connections, mtu kwanza kabla hajaenda huko polisi anajiuliza mara mbili mbili,
Kwa ufupi sisumbuliwi kiboya boya, Mimi ni mtu peace sana ila balaa langu lililowakuta waliowahi kuleta za kuleta wanalijua, Kiufupi hata uende polisi huko hufui dafu, Najuana na mapoti kibao tu, Sio mtu wa kuchezewa michezo ya kiboya mimi, Mtu nikimkopesha najua hata akivurugwa akaenda mbali ntamweza tu
Sasa kama nakudai hulipi nifanyaje??
Mkuu watu wengine sisi tuna connections, mtu kwanza kabla hajaenda huko polisi anajiuliza mara mbili mbili,
Kwa ufupi sisumbuliwi kiboya boya, Mimi ni mtu peace sana ila balaa langu lililowakuta waliowahi kuleta za kuleta wanalijua, Kiufupi hata uende polisi huko hufui dafu, Najuana na mapoti kibao tu, Sio mtu wa kuchezewa michezo ya kiboya mimi, Mtu nikimkopesha najua hata akivurugwa akaenda mbali ntamweza tu
Usiombe,Mimi mpaka leo huu mwaka 3 namdai rafiki yangu milioni 2,hapo alikuwa anataka milioni 3.Ha ha ha !
Kama mbwai iwe mbwa tu!
Mi nimepoteza hel nyingi kwa kukopesha marafiki.
Nimejifunza kuwa kuliko ukosane na rafiki ukimkopesa na harudishi, heri nikosane naye kwa kutomkopesha na akanikasirikia.Usiombe,Mimi mpaka leo huu mwaka 3 namdai rafiki yangu milioni 2,hapo alikuwa anataka milioni 3.
Alisema vikoba ana zaidi ya milioni 3,kwahyo akasema nimuazime milioni 3 akivunja atarudisha hela yangu,Mimi kwa kumuamini best yangu nikamkopesha 2.5m,akavunja akanipa laki 5 tuu!toka hata cent sijapewa ukimuuliza hana jibu kamili na sijui nimfanye nini, siwezi kumsamehe hela nyingi namna hii,nifanyeje na Mimi ili anirudishie 2m zangu???
Unaanzaje kumkopa mtu ambae humuwezi?? muwe mnakopa watu kwa akili, huyu nliemkopa hata ningemlamba mbata hakuna anachoweza kunifanya.Mtu mwingine anakuweka lockup, huwezi fanya hicho ulichofanya aisee
Sijaelewa, huyo jamaa alimkopa au alimkopesha? Maana unasema alimkopa halafu baada ya kumkopa akachukua vitu vyake!Hongera sana na shukuru umepata mstaarabu maana kuna wale wameru wapenda kesi wangeshafungua mashtaka ya uvamizi na kuporwa na pengine angeongezea hata visivyohusika. Mahakamani asingekataa kuwa ulimsaidia pesa na isingehalalisha ulichokifanya. Usimkope mtu 2021, msaidie kama unaweza. Ukimkopa usiweke kwenye malengo ya kulipwa, akikulipa huna cha kupoteza.
Kisheria kufsnya hivyo inaitwa bonafidr claim.of rigbt..yani akishakubli tu kwamba anadaiwa hio kesi inakua imeisha...Hongera sana na shukuru umepata mstaarabu maana kuna wale wameru wapenda kesi wangeshafungua mashtaka ya uvamizi na kuporwa na pengine angeongezea hata visivyohusika. Mahakamani asingekataa kuwa ulimsaidia pesa na isingehalalisha ulichokifanya. Usimkope mtu 2021, msaidie kama unaweza. Ukimkopa usiweke kwenye malengo ya kulipwa, akikulipa huna cha kupoteza.
Alimkopesha bossSijaelewa, huyo jamaa alimkopa au alimkopesha? Maana unasema alimkopa halafu baada ya kumkopa akachukua vitu vyake!
Ufafanuzi tafadhari.
Mkuu i wish imgekuwa rahisi hivyo. Watu wanakubali na bado vizuizi vya kutaifisha mali vinawekwa na hiyo hiyo maakama. Mtu anapewa fursa ya kulipa anavyoona yeye inafaa kulingana na hali yake ya kifedhaKisheria kufsnya hivyo inaitwa bonafidr claim.of rigbt..yani akishakubli tu kwamba anadaiwa hio kesi inakua imeisha...
Kisa chako kidogo kifanane na mimi aliniomba mtaji nikamsupport 3.6ml akafungua duka, kweli amefanikiwa duka limekuwa kubwa mambo yanamwendea vizuri kwa sasa, lakini deni nikiulizia silipwi sasa hivi ni mwaka na nusu mtu hataki kulipa deni soon atapata alichokitafutaUsiombe,Mimi mpaka leo huu mwaka 3 namdai rafiki yangu milioni 2,hapo alikuwa anataka milioni 3.
Alisema vikoba ana zaidi ya milioni 3,kwahyo akasema nimuazime milioni 3 akivunja atarudisha hela yangu,Mimi kwa kumuamini best yangu nikamkopesha 2.5m,akavunja akanipa laki 5 tuu!toka hata cent sijapewa ukimuuliza hana jibu kamili na sijui nimfanye nini, siwezi kumsamehe hela nyingi namna hii,nifanyeje na Mimi ili anirudishie 2m zangu???
Kama umelipwa unakuja huku kufanya nini mkuu?