cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeeh lolkuna jamaa aliazimwa laki 7,akawa harudishi.
siku jamaa anakwenda kwenye tukio mhimu sana,mdai akamuotea na kumkaba akapora simu[emoji38][emoji38] ya laki mbili na nusu bila kujua ilikiwa mbovu spaker na ni nzito balaa.ila ina muonekano smart sana.
basi wakaachana,baada ya siku kama 2 hivi jamaa wakikutana jamaa anamcheki mshikaji kwa hasira tu hajui afanyaje[emoji23][emoji23].kumdai mtu yataka subira.