Hi chai, mtu mwenye kumiliki gari nyumba famila hawezi kurisk maisha yake na ya familia kuacha mlago wazi kutembea usiku wa manane kisa mbususu!!!!!Aisee abdalah kichwa panzi akisimama akili inapotea
Jana usiku saa sita kasoro nilikuwa nachek series moja sebulen wife akiwa amelala chumbani. Saa sita kamili nikawa naview status za whatsap kuna binti mmoja wa chuo nimemfukuzia kitambo sana akawa anachomoa(kiukweli huyu binti
KabisaHapa ndio ule usemi wa mwanaume anaweza akachepuka lakini akabakia kumpenda mke wake...unapotimilika.
True sayUlitumia kondomu ,...mademu wa udsm wanaokaa mabibo hostel wan UTI ,baada ya week mbili basi utakuwa una fungus + UTI
Upo mtaa GaniHii kitu ya kuwa kichaa ukiitwa na mwanamke usiku ukaacha familia ni mbaya sana. Mwingine alienda alivyorudi wezi weshafanya tukio anakuta familia ipo kibarazani vilio tu. Baba alikimbilia mbususu na kuwaachia mageti wazi wezi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aahh Sasa swali gan hilo?
Usingizi wa fofofo wa Mkeo ? Naye mchana ulipokua job alipelekewa moto sana.
Hii inafaa iende kwenye wa rikiboyHivi hii sio ya Kimasiara?
Hamna kwa sababu hawa si wanajuana itakuaje kimasiharaHivi hii sio ya Kimasiara?
Yatakuwa yamefanana mkuu maana wanaume tunafanana matukio.Upo mtaa Gani
Hili tukio lilitokea jirani na ninapoishi
Yaani umeniwahi kuulizaHivi hii sio ya Kimasiara?
Daahhh, unaacha mbususu kitandqni unafukuzia nyingine kusikojulikana.Aisee abdalah kichwa panzi akisimama akili inapotea
Jana usiku saa sita kasoro nilikuwa nacheki series moja sebuleni wife akiwa amelala chumbani. Saa sita kamili nikawa
Kimasihara si lazima muwe hamfahamiani.. Ni namna tu jambo lilivyotokea na jinsi ambavyo hamkuwa mmepanga kunyanduanaHamna kwa sababu hawa si wanajuana itakuaje kimasihara
Kamasihara ni wawe hawajuani ndo mara yao ya kwanza wanaonana na mbunye inaliwa kimasihara dadek
Shetani alishaandaaga mazingira kitambo sana,kuanzia bodaboda kupatikana muda wowote,ukiwa na pesa kila kitu kinawezekana,nazan shetani ni pesaHapo wakulungwa wanasema shetani kaweka mkono wake.
Siku zote kichwa cha chini hakikupi nafasi ya kufanya risk analysisHii kitu ya kuwa kichaa ukiitwa na mwanamke usiku ukaacha familia ni mbaya sana. Mwingine alienda alivyorudi wezi weshafanya tukio anakuta familia ipo kibarazani vilio tu. Baba alikimbilia mbususu na kuwaachia mageti wazi wezi.