Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Ndo maana siku zote anayetumia kichwa cha juu kukiongoza cha chini anafurahia maisha zaidi na anapata mwanamke mzuri anayemtaka wakati wote. AKILI KUBWA HAIFELI.Siku zote kichwa cha chini hakikupi nafasi ya kufanya risk analysis