Jana nimefanya risk ya kipuuzi sana

Jana nimefanya risk ya kipuuzi sana

Aisee abdalah kichwa panzi akisimama akili inapotea

Jana usiku saa sita kasoro nilikuwa nacheki series moja sebuleni wife akiwa amelala chumbani. Saa sita kamili nikawa naview status za whatsap kuna binti mmoja wa chuo nimemfukuzia kitambo sana akawa anachomoa(kiukweli huyu binti ni mzuri kiwango cha uzuri wa kutosha kwa vigezo vyote). Alishanikataa kitambo so tulibaki kuview status tu amna mtu ana time na mwenzie. Nikaona kapost birthday yake imefika nika-reply pale kwa kumu-wish.

Tukajikuta tunaanza kuchart. Tumeachart we mpaka tukajikuta tunahamia kuchart mambo ya sex. Tukaingia kutumiana emoj hizi za sex tukiendelea kuchart mambo ya mapenzi kwa undani sana. Demu akaanza kulalamika namtesa na bwanake yuko mbali. Nikamtania tu " zikizidi usijali naweza kuzitoa". Tumechart mpaka tukafika sehemu akasema amezidiwa hawezi kulala vile atateseka

Nikamuuliza nije kukufata akakubali. Nilidhani utani nikauliza mara ya pili akajibu " naingia kuoga njoo unichukue" Kwangu ni mbali kidogo(nje ya mji). Nikapiga akili kutoka na gari wife atasikia inawashwa na me sina sababu yoyote ya kumwambia natoka. Nikatoka kimya kimya nikaita boda nayemtumia mtaani speed kwenda Sinza . Nikampigia ubber nayemjua nikampa maelekezo tukutane Mwenge. Hao moja kwa moja tukafika hostel ya Magu nikakuta mtoto yuko tayari nikamchukua nikampeleka chimbo. Nikapiga game bao zangu mbili. Saa 9 yuko bafuni anaoga akili ndio ikarudi sasa nikakumbuka wife itakuwaje. Kucheki simu wife hajaingia online nikajua huyu hajaamka. Fasta nikarequest ubber nikamwambia yule binti nashuka chini kdg narud(nikaona bora nikosane na huyu demu na sio wife) Nikasepa home

Nimefika nakuta TV inaongea nikajua hajaamka nikanyata na kuzama ndani kimya. Nikaingia toilet public mlango ukapiga kelele wife ndio anaamka kuja kucheki niko toilet" wewe leo hulali?" Nikajibu tu " series ya leo ilikuwa [emoji91][emoji91]" akaondoka.

Nilichoshangaa wife akiniacha sebuleni saa tano au sita lazima ashtuke aje kuniomba nikalale but jana sijui imekuwaje akalala bila kushtuka! Angeshtuka sijui ningejielezaje? Hakuna mechi nimewahi kwenda kuangalia saa tisa usiku/ mimi sinywi so sina kampani kusema nitatoka usiku. Yaani sina sababu yoyote ile ya kutoka usiku! Sijui ningejuelezaje!? Nahisi sahizi angekuwa ashabeba mabegi amefika kwao.

Abdalah kichwa hafai! Akiamka akili zote hupotea
We jamaa bhaana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hizo mbinu nikizitumia mimi sidhani kama zitafua dafu maana sinaga tabia ya kutembea usiku
 
Mkuu mbegu unayoipanda utaja vuna tu. Furahi sana....iko siku isiyo na jina mkuu..sikutishi, nakukumbusha tu. Enjoy at your fullest mzee duhduh yako, hela zako, nguvu zako.....
Leo mjinga mama huyo...kesho ikija halooo...
 
Wap nimejiona mwelevu ndg wakat nimeandika nilifanya kitu cha kipuuz
Kitendo cha kusimulia upuuzi ni ishara ya kuona ulifanya kitu Cha maana siku zote mtu anaetambua kafanya upuuzi huwa anajutia na hasimulii
 
unataka kufanya ivo au ushafanya, bao tano unetumia muda gani
 
[emoji3526][emoji3526][emoji3526] umalaya bwana [emoji28]
 
Naamini game ilikuwa so amazing! Cha faster huwa kinaacha sweet memories 😋
 
Tunachoshukuru ni kuwa umetimiza ndoto yako ya kula mbususu uliyoitamani toka kitambo,hii nzuri sana
 
Hii risk niliwai kuifanya sana kipind icho Mchepuko Wangu mamaJ anakaa mtaa mmoja na nyumban kwangu.

Najifanya naangalia movie seblen,
Naegesha mlango Nanyata naenda kuchakata Kisha narudi.

Baadae niliona Ni Ujinga,
Nikinaswa fumanizi lake litanivunjia heshima, nikamhamisha mtaa kabisa.
Ut0mb@jI wa hivi huwa unasababisha kutokutosheka maana kila ukienda unatia fasta unarudi dakika chache ub000 wima unataka tena.

Niliwahi toumber chuda mmoja kwa style hii aseeeee nilimgomga bao chungu mzima
 
I like this story, una kipaji cha story telling and if this is not s fiction story and it really happened, then you have the powers that makes things happen, ukijitambua kuwa ya have them na ukizichannell vizuri, wewe ni mtu mwingine kabisa!.
Hongera!.
P
Bro P. Mayalla, hapo umetuacha. Jazia nyama kidogo basi brother.!
 
Aisee abdalah kichwa panzi akisimama akili inapotea

Jana usiku saa sita kasoro nilikuwa nacheki series moja sebuleni wife akiwa amelala chumbani. Saa sita kamili nikawa naview status za whatsap kuna binti mmoja wa chuo nimemfukuzia kitambo sana akawa anachomoa(kiukweli huyu binti ni mzuri kiwango cha uzuri wa kutosha kwa vigezo vyote). Alishanikataa kitambo so tulibaki kuview status tu amna mtu ana time na mwenzie. Nikaona kapost birthday yake imefika nika-reply pale kwa kumu-wish.

Tukajikuta tunaanza kuchart. Tumeachart we mpaka tukajikuta tunahamia kuchart mambo ya sex. Tukaingia kutumiana emoj hizi za sex tukiendelea kuchart mambo ya mapenzi kwa undani sana. Demu akaanza kulalamika namtesa na bwanake yuko mbali. Nikamtania tu " zikizidi usijali naweza kuzitoa". Tumechart mpaka tukafika sehemu akasema amezidiwa hawezi kulala vile atateseka

Nikamuuliza nije kukufata akakubali. Nilidhani utani nikauliza mara ya pili akajibu " naingia kuoga njoo unichukue" Kwangu ni mbali kidogo(nje ya mji). Nikapiga akili kutoka na gari wife atasikia inawashwa na me sina sababu yoyote ya kumwambia natoka. Nikatoka kimya kimya nikaita boda nayemtumia mtaani speed kwenda Sinza . Nikampigia ubber nayemjua nikampa maelekezo tukutane Mwenge. Hao moja kwa moja tukafika hostel ya Magu nikakuta mtoto yuko tayari nikamchukua nikampeleka chimbo. Nikapiga game bao zangu mbili. Saa 9 yuko bafuni anaoga akili ndio ikarudi sasa nikakumbuka wife itakuwaje. Kucheki simu wife hajaingia online nikajua huyu hajaamka. Fasta nikarequest ubber nikamwambia yule binti nashuka chini kdg narud(nikaona bora nikosane na huyu demu na sio wife) Nikasepa home

Nimefika nakuta TV inaongea nikajua hajaamka nikanyata na kuzama ndani kimya. Nikaingia toilet public mlango ukapiga kelele wife ndio anaamka kuja kucheki niko toilet" wewe leo hulali?" Nikajibu tu " series ya leo ilikuwa [emoji91][emoji91]" akaondoka.

Nilichoshangaa wife akiniacha sebuleni saa tano au sita lazima ashtuke aje kuniomba nikalale but jana sijui imekuwaje akalala bila kushtuka! Angeshtuka sijui ningejielezaje? Hakuna mechi nimewahi kwenda kuangalia saa tisa usiku/ mimi sinywi so sina kampani kusema nitatoka usiku. Yaani sina sababu yoyote ile ya kutoka usiku! Sijui ningejuelezaje!? Nahisi sahizi angekuwa ashabeba mabegi amefika kwao.

Abdalah kichwa hafai! Akiamka akili zote hupotea
Tanzania Tea Blenders
 
hii kitu acha kabisa. niliwahi kumla mke wa mtu chooni kwao mme wake akiwa ndani. na choo kimetazamana na mlango ilikuwa usiku saa 1. na niliingia geti ndani nilivyo mwaga akili ndo zikarudi aise acha kabisa
Alikuwa haridhishwi na mumewe au?
 
Back
Top Bottom