Jana nimefanya risk ya kipuuzi sana

Nawaza ungekufa tu kwenye hizo harakati
 
hahaha hizi za faster unplanned ni nzuriiiiii majuzi nimechakata mtu bombani ilikuwa bonge la risk nashukuru mule ndani hakuna movements za watu.
 
duh,kuna watu wameolewa wengine wanasimdikiza waliooa na kuolewa,tangu ukiwa bachelor unakesha na series na hata baada ya kuoa?kuna mambo ukifika mda fulani ni vyema kuachana nayo
 
Hi chai, mtu mwenye kumiliki gari nyumba famila hawezi kurisk maisha yake na ya familia kuacha mlago wazi kutembea usiku wa manane kisa mbususu!!!!!
Utakuwa hujaoa wewe!!
 
Fikiria uber ingefeli ukaumia au ukafa ingekuwaje.

All in all mashine zote sawa tu, uliyoacha ndani uliyofuata zote ni mmmwaaa, pengine ya ndani ndo taiti zaidi.
Huo utafiti ungekuwa wa kweli uzinzi usingekuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…