Jana nimeiona nguvu ya pesa

Jana nimeiona nguvu ya pesa

Hello!
Jana saa moja usiku kuelekea saa 2 nilikuwa nawatoa madogo out.
Nimefika njia panda kuna huduma nilikuwa naipata kwa wakala wa pesa. Mara jamaa wawili wanafika wakaweka pozi fupi. Wakaanza kupigiana simu na mama mmoja kuhusu biashara fulani. Inaonyesha huyo mama ni mteja wao wa muda mwingi. Sasa yule mama akawaambia leteni mzigo pesa kesho nitawapa. Wakasema sawa, Mimi ile biashara (Mali) nilikuwa naipenda. Nikawaambia huyo mama kasema kesho Mimi nawapa cash sasa hivi. Aisee pesa mwana haramu jamaa kwa pamoja wakauza mzigo na kusema huyo mama watamchekecha (watampa somo mpaka akae kwenye relief).
Imagine mtu wanayefanya naye biashara mara nyingi walimruka dk za mwisho kwasababu ya pesa.
Kumbe watu wengi tunapoteza vitu muhimu kama ajira, pesa, connection, biashara kwasababu kuna watu wamekaa njia panda na miburungutu ya pesa za kukatisha mifereji yetu.
Zitege pesa kwa njia yoyote ile ilimradi usiue na usiende kwa waganga na wachawi. Njia zingine zote tumia
Mbona sioni cha kusgangaza hapa?
 
K

Kuna siki niliingia soko la Kuku, nikabargain waniuzie kuku wawili kila moja 15K.

Muuzaji akaniambia kama ingekuwa bei hiyo nisingewakuta hao kiku kwani wateja wa bei hiyo ni wengi.

Ghafla nikaona Anakuja mtu kubargain kwa 18K akachukua.

Nikajisemea sawa. Nikamfatilia alizuga zuga pale sokoni vichochoro then akawarudisha pale pale.

Kumbe ni ujanja wa kupiga wateja.

Hii ilitokea pia kwenye soko la Samaki😆😆😆
 
Duuhhuu 😭😭😭
 
Mimi na ephen tumeunganishwa na upendo na siyo pesa.nguvu yetu upo katika upendo na kupendana kama tulivyo na siyo nguvu ya pesa.ndio maana mimi nipo CCM lakini yeye siyo mpenzi wa Madera ya CCM lakini ananipenda hivyo hivyo, nami pia nampenda mpaka najisikia muda wote nimeshiba nikimuwaza yeye.
 
''''PESA HAITAFUTWI,,PESA INATEGWA"'Huwaga siishangai kwenye Usaliti huwaga inafanya kazi Sekunde Yoyote.
 
Hello!
Jana saa moja usiku kuelekea saa 2 nilikuwa nawatoa madogo out.
Nimefika njia panda kuna huduma nilikuwa naipata kwa wakala wa pesa. Mara jamaa wawili wanafika wakaweka pozi fupi. Wakaanza kupigiana simu na mama mmoja kuhusu biashara fulani. Inaonyesha huyo mama ni mteja wao wa muda mwingi. Sasa yule mama akawaambia leteni mzigo pesa kesho nitawapa. Wakasema sawa, Mimi ile biashara (Mali) nilikuwa naipenda. Nikawaambia huyo mama kasema kesho Mimi nawapa cash sasa hivi. Aisee pesa mwana haramu jamaa kwa pamoja wakauza mzigo na kusema huyo mama watamchekecha (watampa somo mpaka akae kwenye relief).
Imagine mtu wanayefanya naye biashara mara nyingi walimruka dk za mwisho kwasababu ya pesa.
Kumbe watu wengi tunapoteza vitu muhimu kama ajira, pesa, connection, biashara kwasababu kuna watu wamekaa njia panda na miburungutu ya pesa za kukatisha mifereji yetu.
Zitege pesa kwa njia yoyote ile ilimradi usiue na usiende kwa waganga na wachawi. Njia zingine zote tumia
Kwani ulikuwa hujui, (business people are opportunity seekers) wafanya biashara wanaofanikiwa ni wachamkia fursa
 
Huwa nikiziangalia hela, najiuliza hizi ndizo zinafanya watu waibe, wauane, wasalitiane, wachukiane au wapendane. Kuna nguvu kubwa sana ndani ya pesa. Aliyezigundua, anakula mijeredi kila siku huko juu 😇
Hakika
 
Hello!
Jana saa moja usiku kuelekea saa 2 nilikuwa nawatoa madogo out. Nimefika njia panda kuna huduma nilikuwa naipata kwa wakala wa pesa. Mara jamaa wawili wanafika wakaweka pozi fupi. Wakaanza kupigiana simu na mama mmoja kuhusu biashara fulani. Inaonesha huyo mama ni mteja wao wa muda mwingi.

Sasa yule mama akawaambia leteni mzigo pesa kesho nitawapa. Wakasema sawa, Mimi ile biashara (Mali) nilikuwa naipenda. Nikawaambia huyo mama kasema kesho Mimi nawapa cash sasa hivi. Aisee pesa mwana haramu jamaa kwa pamoja wakauza mzigo na kusema huyo mama watamchekecha (watampa somo mpaka akae kwenye relief).

Imagine mtu wanayefanya naye biashara mara nyingi walimruka dakika za mwisho kwasababu ya pesa. Kumbe watu wengi tunapoteza vitu muhimu kama ajira, pesa, connection, biashara kwasababu kuna watu wamekaa njia panda na miburungutu ya pesa za kukatisha mifereji yetu.

Zitege pesa kwa njia yoyote ile ilimradi usiue na usiende kwa waganga na wachawi. Njia zingine zote tumia.
Usijione mjanja wa kudandia mitego, utakujakwama utajuta na biashara za barabarani usiku.
 
Bongo bhana yaweza kuta umefanya biashara ya lak tano nawe ukajiona unapesa na ss tunaofunga zaid ya hyo tusemeje
 
Hello!
Jana saa moja usiku kuelekea saa 2 nilikuwa nawatoa madogo out. Nimefika njia panda kuna huduma nilikuwa naipata kwa wakala wa pesa. Mara jamaa wawili wanafika wakaweka pozi fupi. Wakaanza kupigiana simu na mama mmoja kuhusu biashara fulani. Inaonesha huyo mama ni mteja wao wa muda mwingi.

Sasa yule mama akawaambia leteni mzigo pesa kesho nitawapa. Wakasema sawa, Mimi ile biashara (Mali) nilikuwa naipenda. Nikawaambia huyo mama kasema kesho Mimi nawapa cash sasa hivi. Aisee pesa mwana haramu jamaa kwa pamoja wakauza mzigo na kusema huyo mama watamchekecha (watampa somo mpaka akae kwenye relief).

Imagine mtu wanayefanya naye biashara mara nyingi walimruka dakika za mwisho kwasababu ya pesa. Kumbe watu wengi tunapoteza vitu muhimu kama ajira, pesa, connection, biashara kwasababu kuna watu wamekaa njia panda na miburungutu ya pesa za kukatisha mifereji yetu.

Zitege pesa kwa njia yoyote ile ilimradi usiue na usiende kwa waganga na wachawi. Njia zingine zote tumia.
Haujasikia Marekani kuna mijitu yenye pesa kazi yake ni kununua 'kashifa za kweli' za wagombea?

Pesa ni kila kitu na ni mwanaharamu vile vile.
 
Back
Top Bottom