MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Mbona sioni cha kusgangaza hapa?Hello!
Jana saa moja usiku kuelekea saa 2 nilikuwa nawatoa madogo out.
Nimefika njia panda kuna huduma nilikuwa naipata kwa wakala wa pesa. Mara jamaa wawili wanafika wakaweka pozi fupi. Wakaanza kupigiana simu na mama mmoja kuhusu biashara fulani. Inaonyesha huyo mama ni mteja wao wa muda mwingi. Sasa yule mama akawaambia leteni mzigo pesa kesho nitawapa. Wakasema sawa, Mimi ile biashara (Mali) nilikuwa naipenda. Nikawaambia huyo mama kasema kesho Mimi nawapa cash sasa hivi. Aisee pesa mwana haramu jamaa kwa pamoja wakauza mzigo na kusema huyo mama watamchekecha (watampa somo mpaka akae kwenye relief).
Imagine mtu wanayefanya naye biashara mara nyingi walimruka dk za mwisho kwasababu ya pesa.
Kumbe watu wengi tunapoteza vitu muhimu kama ajira, pesa, connection, biashara kwasababu kuna watu wamekaa njia panda na miburungutu ya pesa za kukatisha mifereji yetu.
Zitege pesa kwa njia yoyote ile ilimradi usiue na usiende kwa waganga na wachawi. Njia zingine zote tumia
Kaingizwa mjini......akaona amepatia.Huyo mama ha exist,walikua wanakupanga wewe mkuu...
Pesa kitu Cha ajabu sana ,ndiyo maana nikipataga maburungutu na Mimi uwa najificha chumbani pekee yangu naziweka chini nazikanyaga kwa hasira huku naziambia nyie si chochote Wala lolote mbona nawakanyaga maana uwa zinanipeleka mputa kuzipata
Kuna siki niliingia soko la Kuku, nikabargain waniuzie kuku wawili kila moja 15K.Hello!
Jana saa moja usiku kuelekea saa 2 nilikuwa nawatoa madogo out.
Nimefika njia panda kuna huduma nilikuwa naipata kwa wakala wa pesa. Mara jamaa wawili wanafika wakaweka pozi fupi. Wakaanza kupigiana simu na mama mmoja kuhusu biashara fulani. Inaonyesha huyo mama ni mteja wao wa muda mwingi. Sasa yule mama akawaambia leteni mzigo pesa kesho nitawapa. Wakasema sawa, Mimi ile biashara (Mali) nilikuwa naipenda. Nikawaambia huyo mama kasema kesho Mimi nawapa cash sasa hivi. Aisee pesa mwana haramu jamaa kwa pamoja wakauza mzigo na kusema huyo mama watamchekecha (watampa somo mpaka akae kwenye relief).
Imagine mtu wanayefanya naye biashara mara nyingi walimruka dk za mwisho kwasababu ya pesa.
Kumbe watu wengi tunapoteza vitu muhimu kama ajira, pesa, connection, biashara kwasababu kuna watu wamekaa njia panda na miburungutu ya pesa za kukatisha mifereji yetu.
Zitege pesa kwa njia yoyote ile ilimradi usiue na usiende kwa waganga na wachawi. Njia zingine zote tumia
Duuhhuu ๐ญ๐ญ๐ญK
Kuna siki niliingia soko la Kuku, nikabargain waniuzie kuku wawili kila moja 15K.
Muuzaji akaniambia kama ingekuwa bei hiyo nisingewakuta hao kiku kwani wateja wa bei hiyo ni wengi.
Ghafla nikaona Anakuja mtu kubargain kwa 18K akachukua.
Nikajisemea sawa. Nikamfatilia alizuga zuga pale sokoni vichochoro then akawarudisha pale pale.
Kumbe ni ujanja wa kupiga wateja.
Hii ilitokea pia kwenye soko la Samaki๐๐๐
Mimi na ephen tumeunganishwa na upendo na siyo pesa.nguvu yetu upo katika upendo na kupendana kama tulivyo na siyo nguvu ya pesa.ndio maana mimi nipo CCM lakini yeye siyo mpenzi wa Madera ya CCM lakini ananipenda hivyo hivyo, nami pia nampenda mpaka najisikia muda wote nimeshiba nikimuwaza yeye.Lucas Mwashambwa alikuzidi kete
Kwani ulikuwa hujui, (business people are opportunity seekers) wafanya biashara wanaofanikiwa ni wachamkia fursaHello!
Jana saa moja usiku kuelekea saa 2 nilikuwa nawatoa madogo out.
Nimefika njia panda kuna huduma nilikuwa naipata kwa wakala wa pesa. Mara jamaa wawili wanafika wakaweka pozi fupi. Wakaanza kupigiana simu na mama mmoja kuhusu biashara fulani. Inaonyesha huyo mama ni mteja wao wa muda mwingi. Sasa yule mama akawaambia leteni mzigo pesa kesho nitawapa. Wakasema sawa, Mimi ile biashara (Mali) nilikuwa naipenda. Nikawaambia huyo mama kasema kesho Mimi nawapa cash sasa hivi. Aisee pesa mwana haramu jamaa kwa pamoja wakauza mzigo na kusema huyo mama watamchekecha (watampa somo mpaka akae kwenye relief).
Imagine mtu wanayefanya naye biashara mara nyingi walimruka dk za mwisho kwasababu ya pesa.
Kumbe watu wengi tunapoteza vitu muhimu kama ajira, pesa, connection, biashara kwasababu kuna watu wamekaa njia panda na miburungutu ya pesa za kukatisha mifereji yetu.
Zitege pesa kwa njia yoyote ile ilimradi usiue na usiende kwa waganga na wachawi. Njia zingine zote tumia
HakikaHuwa nikiziangalia hela, najiuliza hizi ndizo zinafanya watu waibe, wauane, wasalitiane, wachukiane au wapendane. Kuna nguvu kubwa sana ndani ya pesa. Aliyezigundua, anakula mijeredi kila siku huko juu ๐
Usijione mjanja wa kudandia mitego, utakujakwama utajuta na biashara za barabarani usiku.Hello!
Jana saa moja usiku kuelekea saa 2 nilikuwa nawatoa madogo out. Nimefika njia panda kuna huduma nilikuwa naipata kwa wakala wa pesa. Mara jamaa wawili wanafika wakaweka pozi fupi. Wakaanza kupigiana simu na mama mmoja kuhusu biashara fulani. Inaonesha huyo mama ni mteja wao wa muda mwingi.
Sasa yule mama akawaambia leteni mzigo pesa kesho nitawapa. Wakasema sawa, Mimi ile biashara (Mali) nilikuwa naipenda. Nikawaambia huyo mama kasema kesho Mimi nawapa cash sasa hivi. Aisee pesa mwana haramu jamaa kwa pamoja wakauza mzigo na kusema huyo mama watamchekecha (watampa somo mpaka akae kwenye relief).
Imagine mtu wanayefanya naye biashara mara nyingi walimruka dakika za mwisho kwasababu ya pesa. Kumbe watu wengi tunapoteza vitu muhimu kama ajira, pesa, connection, biashara kwasababu kuna watu wamekaa njia panda na miburungutu ya pesa za kukatisha mifereji yetu.
Zitege pesa kwa njia yoyote ile ilimradi usiue na usiende kwa waganga na wachawi. Njia zingine zote tumia.
Bongo bhana yaweza kuta umefanya biashara ya lak tano nawe ukajiona unapesa na ss tunaofunga zaid ya hyo tusemejeHello!
Jana saa moja usiku kuelekea saa 2 nilikuwa nawatoa madogo out. Nimefika njia panda kuna huduma nilikuwa naipata kwa wakala wa pesa. Mara jamaa wawili wanafika wakaweka pozi fupi. Wakaanza kupigiana simu na mama mmoja kuhusu biashara fulani. Inaonesha huyo mama ni mteja wao wa muda mwingi.
Sasa yule mama akawaambia leteni mzigo pesa kesho nitawapa. Wakasema sawa, Mimi ile biashara (Mali) nilikuwa naipenda. Nikawaambia huyo mama kasema kesho Mimi nawapa cash sasa hivi. Aisee pesa mwana haramu jamaa kwa pamoja wakauza mzigo na kusema huyo mama watamchekecha (watampa somo mpaka akae kwenye relief).
Imagine mtu wanayefanya naye biashara mara nyingi walimruka dakika za mwisho kwasababu ya pesa. Kumbe watu wengi tunapoteza vitu muhimu kama ajira, pesa, connection, biashara kwasababu kuna watu wamekaa njia panda na miburungutu ya pesa za kukatisha mifereji yetu.
Zitege pesa kwa njia yoyote ile ilimradi usiue na usiende kwa waganga na wachawi. Njia zingine zote tumia.
Haujasikia Marekani kuna mijitu yenye pesa kazi yake ni kununua 'kashifa za kweli' za wagombea?Hello!
Jana saa moja usiku kuelekea saa 2 nilikuwa nawatoa madogo out. Nimefika njia panda kuna huduma nilikuwa naipata kwa wakala wa pesa. Mara jamaa wawili wanafika wakaweka pozi fupi. Wakaanza kupigiana simu na mama mmoja kuhusu biashara fulani. Inaonesha huyo mama ni mteja wao wa muda mwingi.
Sasa yule mama akawaambia leteni mzigo pesa kesho nitawapa. Wakasema sawa, Mimi ile biashara (Mali) nilikuwa naipenda. Nikawaambia huyo mama kasema kesho Mimi nawapa cash sasa hivi. Aisee pesa mwana haramu jamaa kwa pamoja wakauza mzigo na kusema huyo mama watamchekecha (watampa somo mpaka akae kwenye relief).
Imagine mtu wanayefanya naye biashara mara nyingi walimruka dakika za mwisho kwasababu ya pesa. Kumbe watu wengi tunapoteza vitu muhimu kama ajira, pesa, connection, biashara kwasababu kuna watu wamekaa njia panda na miburungutu ya pesa za kukatisha mifereji yetu.
Zitege pesa kwa njia yoyote ile ilimradi usiue na usiende kwa waganga na wachawi. Njia zingine zote tumia.
Uzuri wa Jf kila mtu ana pesa kuliko mwenzake na madili ya biashara kubwa kubwa๐๐๐Bongo bhana yaweza kuta umefanya biashara ya lak tano nawe ukajiona unapesa na ss tunaofunga zaid ya hyo tusemeje