Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Jana nimepata ajali ya bodaboda, nashukuru sana Mungu sijaumia sana
Ila mwanaume ukipata ajali hutakiwi kupiga piga simu hivyo kuomba msaaada Wala kutoa taarifa kama unajiweza maliza kila kitu.
Toa taarifa ukiwa kwako au Tayari umepata huduma ya kwanza sio kupiga piga simu hovyo
Mwanaume jifunze kujipambania.
Nilishuhudia mwanajeshi mmoja alipata ajali akavunjika miguu lakini hakuaza kupiga piga masimu hovyo.
Mwanaume jipambanie