Jana nimepata ajali ya bodaboda, nashukuru sana Mungu sijaumia sana

Jana nimepata ajali ya bodaboda, nashukuru sana Mungu sijaumia sana

Atakua Yanga huyu,wanapenda kudeka hawa
Yaan hapo ndio anajiona ameumiiiia!! Watu tunakatika shingo nusu I amputate inashonwa na kuungwa na Maisha yanasonga sasa yeye hivyo vi bruises anaanzisha mada.

#Last born.
 
kwa Sasa naendelea vizuri sana
1000140750.jpg
 
Back
Top Bottom