Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Jana nimepata ajali ya bodaboda, nashukuru sana Mungu sijaumia sana
Ila mwanaume ukipata ajali hutakiwi kupiga piga simu hivyo kuomba msaaada Wala kutoa taarifa kama unajiweza maliza kila kitu.
Toa taarifa ukiwa kwako au Tayari umepata huduma ya kwanza sio kupiga piga simu hovyo
Mwanaume jifunze kujipambania.
Nilishuhudia mwanajeshi mmoja alipata ajali akavunjika miguu lakini hakuaza kupiga piga masimu hovyo.
Mwanaume jipambanieView attachment 3363488
Hii ni adhabu ya kutukana wakubwa Fungua hapa ujikumbusheJana nimepata ajali ya bodaboda, nashukuru sana Mungu sijaumia sana
Ila mwanaume ukipata ajali hutakiwi kupiga piga simu hivyo kuomba msaaada Wala kutoa taarifa kama unajiweza maliza kila kitu.
Toa taarifa ukiwa kwako au Tayari umepata huduma ya kwanza sio kupiga piga simu hovyo
Mwanaume jifunze kujipambania.
Nilishuhudia mwanajeshi mmoja alipata ajali akavunjika miguu lakini hakuaza kupiga piga masimu hovyo.
Mwanaume jipambanieView attachment 3363488
Hii ndio ajali sasa mleta mada kachubuka kidogo sanaPole sana mkuu ila kuna ajali inatakiwa upate msaada hata kabla ya wewe kupiga simuView attachment 3363501View attachment 3363502
Achana na boda boda hapa dasalama Mimi mwaka mmoja imeniweka nyumbani last year muda kama huu sitembeiJana nimepata ajali ya bodaboda, nashukuru sana Mungu sijaumia sana