The Coin Man
JF-Expert Member
- Jan 2, 2025
- 1,471
- 1,879
Haah kaondoka na blanket nimecheka sana kidogo nipaliwe na k vantPole sana mkuu ila kuna ajali inatakiwa upate msaada hata kabla ya wewe kupiga simu... kasaula kuondoka na blanketView attachment 3363501View attachment 3363502
Naunga mkono hojaPole sana kiongozi,Ila nimeshindwa kutambua hiyo sehemu ya mwili ni goti au tako.samahani kwa hati chafu
Yaan hapo ndio anajiona ameumiiiia!! Watu tunakatika shingo nusu I amputate inashonwa na kuungwa na Maisha yanasonga sasa yeye hivyo vi bruises anaanzisha mada.Atakua Yanga huyu,wanapenda kudeka hawa
Hahaha 🤣 mkuu Hilo ni gotiPole sana kiongozi,Ila nimeshindwa kutambua hiyo sehemu ya mwili ni goti au tako.samahani kwa hati chafu