Jana nimepigwa ngumi na mke wangu na amesema anajuta kuolewa na mimi

Jana nimepigwa ngumi na mke wangu na amesema anajuta kuolewa na mimi

Wewe inaonekana unamnyanyasa mke wako kwa kigezo cha mahali, Mke hanunuliwi sababu sio bidhaa mahali ni utaratibu wa kijamii..mke muone katika utu wake au personality sababu hizo ndio zimekufanya umchague kati ya wale wengi
Kigezo cha mahali kubwa au ndogo,uzuri au ubaya sio vigezo vya mke,
 
tapatalk_1670163878863.jpeg
 
Pole sana mkuu kwa kupigwa ngumi na mumeo hakika uonevu kwa wanawake umezidi na unafumbiwa macho cha kufanya kaa naye chini mumeo umueleze kwamba asiwe anatuma pichwa kwa wanawake wengine maana nyie tayari mna ndoa na haupendezwi na jambo hilo na pia mueleze kwamba mwanamke anapigwa na vitu vitatu tu

1. Upendo
2. Pesa
3. Njomba nchumali
kama vile umegeuza betri?.
 
Hivi nifanyeje? Na ukizingatia nimetoa mahari kubwa na kuna kiasi bado na nadaiwa kule kwao na ukizingatia mwanamke mwenyewe ndiyo huyu yaani nilivyotegemea na niliyokutana nayo ni vitu viwili tofauti

Kosa ni kumuambia kwanini unamtumia picha zako mwanaume mwingine? Aisee akanyanyuka juu akachukua simu kuwapigia wazazi wake na kudai namnyanyasa aisee sasa wakati anataka kuongea na wazazi wake mie nilikuwa natoka nje aisee akanivuta na kunipiga ngumi kali aisee aisee na akasema.anajuta kuolewa na mimi.

Kuna mbinu nataka niifanye kwamba nimpeleke kwao akasalimie na hapo nitampiga chini mazima no calling za simu no SmS yaani nitamchana kwamba mimi na wewe ni basi. Kama mahari nitarudishiwa it is ok kama sitarudishiwa pesa ni makaratasi hasara roho na nahisi ipo siku atanichoma kisu huyu mwanamke aisee.
dronedrake hebu toa neno moja kwa huyu dogo
 
Back
Top Bottom