Jana nimepigwa ngumi na mke wangu na amesema anajuta kuolewa na mimi

Jana nimepigwa ngumi na mke wangu na amesema anajuta kuolewa na mimi

Acha uduanzi nunua petrol tita 3 toka nje usiku mnene imwagie nyumba vyema kabisa piga kiberiti sepa
 
Cha kufanya hapo ni kitu kimoja tu braza. Mie nina connection na dulla mbabe, ibrahim class na mwakinyo, njoo pm bs tuongee mkeo anaweza akaw anatengeneza hela nying sana kaka
 
Hivi nifanyeje? Na ukizingatia nimetoa mahari kubwa na kuna kiasi bado na nadaiwa kule kwao na ukizingatia mwanamke mwenyewe ndiyo huyu yaani nilivyotegemea na niliyokutana nayo ni vitu viwili tofauti

Kosa ni kumuambia kwanini unamtumia picha zako mwanaume mwingine? Aisee akanyanyuka juu akachukua simu kuwapigia wazazi wake na kudai namnyanyasa aisee sasa wakati anataka kuongea na wazazi wake mie nilikuwa natoka nje aisee akanivuta na kunipiga ngumi kali aisee aisee na akasema anajuta kuolewa na mimi.

Kuna mbinu nataka niifanye kwamba nimpeleke kwao akasalimie na hapo nitampiga chini mazima no calling za simu no SMS yaani nitamchana kwamba mimi na wewe ni basi. Kama mahari nitarudishiwa it is ok kama sitarudishiwa pesa ni makaratasi hasara roho na nahisi ipo siku atanichoma kisu huyu mwanamke aisee.
Bwege kabisaa,,Kuna mtu anakula hapo na Kesha mchota akili,, angalien na watu wa kuoa sio mnakimbilia shepu na matako makubwa,,,,,Piga chini tatfta mtu sahihi
 
Back
Top Bottom