Jana nimepigwa ngumi na mke wangu na amesema anajuta kuolewa na mimi

Hii chai, hamna kitu hapo.
Mwambie aliyekutuma hatukatai ndoa hata mtunge story gani.
Ndoa ndio msingi wa familia, Familia ndio msingi wa taifa.
 
Wakati mwingine tunaweza kuwalaumu wake zetu kumbe sisi ndio shida, inakuwaje mpaka mnamtolea Mwanamke Mahari huku sense tabia zake, kuna mambo uliyapuuzia mkiwa marafiki.

Kabla ya kufanya maamuzi kuweni na muda wa kutosha kama marafiki, atleast mwaka mmoja kuna mambo mengi sana utagundua.
 
pole sana mkuu,heli ukosee vyote ila usikosee kuoa, oa yule ambaye atakuwatayali kufata amri zako,ukiona ni mjuaji achana naye maana utateseka milele.mpeleke kwao kisiasa,ukishampeleka mbwage afu umwambie **mungu amesikia kilio chako cha kujuta kuolewa na mimi kwahiyo nakutakia maisha mema**af usepe zako
 
Uamuzi mzuri
 
Eti ukaamua he kwao si atarudi na kukutwanga ngumi tena? We ushafeli yaani umefeli kwenye viwango ambavyo hakuna binadamu wa kiume amewahi kuvifikia
 

Mkuu kwani mpaka hapo bado hujajua dalili za mimba tu?
 
kwamba sababu ni hiyo tu,lahasha kuna vingine mkuu hujaviandika humu
 
Pole sana, weka picha yake upewe miongozo...
 
Mkuu Tofautisha MAHALI NA MAHARI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…