Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Nilikuwa nafanya mazoezi ya marathon, ila kwa kutembea mdogomdogo. Ilinichukua masaa tisa lakini nilifanikiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haijavimba niko physiqueMiguu haijavimba?
Dah, umenikumbusha enzi zangu. Nilikuwa na majibu konki sana, siku hizi umri unanizuia kufanya vitu vingi visivyo na faidaKwa hiyo tukupe makofi au maua?
Dah! Umetisha Sana mkuu[emoji4]Haijavimba niko physique
Mi naona kama mateso hiviHongera sana
Mazoezi kwa afya
Watu wa mkoani wanawezaHuu ni uingo. Nlitembea 10 km miguu ikaota malengelenge sijarydia tena
Ndugu yetu labda alikuwa anasafiri kwa mguu😅Mi naona kama mateso hivi
Ujue mkuu Masaa 9 sio mchezo
Ni almost siku nzima unatembea nonstop
Kilometer 38Hivi stendi ya magufuli Hadi posta Kuna km ngapi nijaribu kujenga picha?[emoji848]
Aisee[emoji848]Kilometer 38
Inawezekana kila siku nakimbia Km 22 kwenda 11 kurudi 11 inabidi uanze kidogo kidogo kisha unaongeza baada ya muda unakua vizuri ila ikitokea umefanya ghafla utaumwa !! Hongera Mzee bujibuji ! Mazoezi yanasaidia sana ! Usisahau pia kuangalia sahani yako ipangilie vizuriHuu ni uingo. Nlitembea 10 km miguu ikaota malengelenge sijarydia tena
43÷9= 4.7 km/hrYani huo umbali ndio utumie masaa 9 au ulikuwa unatambaa
Hao jamaa huku kwetu huwa wanazipiga hzo km 40 tena hata hawawaz kabisaKuna wale jamaa wa kuswaga ng'ombe minadani ndo hatari Sana kwa kutembea kwa mguu.
Ng'ombe wanatolewa Moro Hadi iringa au mbeya kwa mguu pori kwa pori mamia ya kilometer