Jana nimetembea Kilometa 43 kwa miguu

Jana nimetembea Kilometa 43 kwa miguu

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Nilikuwa nafanya mazoezi ya marathon, ila kwa kutembea mdogomdogo. Ilinichukua masaa tisa lakini nilifanikiwa
Screenshot_20230630-234641_Step Tracker & Pedometer.jpg
 
Huu ni uingo. Nlitembea 10 km miguu ikaota malengelenge sijarydia tena
Inawezekana kila siku nakimbia Km 22 kwenda 11 kurudi 11 inabidi uanze kidogo kidogo kisha unaongeza baada ya muda unakua vizuri ila ikitokea umefanya ghafla utaumwa !! Hongera Mzee bujibuji ! Mazoezi yanasaidia sana ! Usisahau pia kuangalia sahani yako ipangilie vizuri
 
Kuna wale jamaa wa kuswaga ng'ombe minadani ndo hatari Sana kwa kutembea kwa mguu.

Ng'ombe wanatolewa Moro Hadi iringa au mbeya kwa mguu pori kwa pori mamia ya kilometer
Hao jamaa huku kwetu huwa wanazipiga hzo km 40 tena hata hawawaz kabisa

Kuna mwamba mmoja ndo alinishanganza alikuwa yupo kijijin alikuwa anasukuma mkokoteni wa tairi za magari ukiwa na mawe peke yake kwa umbali wa km 5

Kuna siku aliwah kufata dirisha zile za frem za mbao zilizosukiwa nondo kwa huo mkokoteni,kutoka hapo kijijin mpaka wilayani ni km 30,nenda rudi 60 na alitumia siku moja

Wengi walikuwa wanasema huwa anatumia dawa,ila jamaa ana mguu mkubwa sana na umejaa misuli
 
Back
Top Bottom