Jana nimetembea Kilometa 43 kwa miguu

Dah! Umetisha Sana mkuu[emoji4]
ulkua wapi? Dar Hii au mkoani?
Huyu alikuwa Bunju akiitafuta B'moyo au Bunju to Mwenge😆
All in all hongera, isiishie hapo maana viungo vitauma. At least uwe unafanya hivyo kila baada ya siku tatu au week end itapendeza zaidi.
Binadamu tunashauriwa at least utembee kwa mguu dakika 180/3hrs kwa afya bora Kika siku
 
43÷9= 4.7 km/hr
Ambayo ni almost mita 80 kwa dakika

Kitua ambacho naona alkua Kama anakimbia vile, sio kutembea Tena
Yani mwenge mara Hadi Morocco ( Airtel ) matata ndio mtu atembee Kwa saa nzima.


Wanaume wa dar waache kula chips
 
Yani mwenge mara Hadi Morocco ( Airtel ) matata ndio mtu atembee Kwa saa nzima.


Wanaume wa dar waache kula chips
Kwa kutembea possibly maana ake hapo haja kimbia kwa pace ya hata ya 7 kwa hata mita 200. Hapo mwenzetu amekwenda kwa pace ya 12 na zaidi!
 
Nilikuwa nafanya mazoezi ya marathon, ila kwa kutembea mdogomdogo. Ilinichukua masaa tisa lakini nilifanikiwa
View attachment 2674816

Huu ni uingo. Nlitembea 10 km miguu ikaota malengelenge sijarydia tena

43÷9= 4.7 km/hr
Ambayo ni almost mita 80 kwa dakika

Kitua ambacho naona alkua Kama anakimbia vile, sio kutembea Tena
Hizo ni results za wiki nzima sio siku kama ailvyo sema.


Mimi steps zangu mpaka mda huu

By-the-way nauza kigari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…