Mazembe kanyimwa goli zuri sana ila mpira basi tu lakini Kuna vitu so unfair sema ndio hivyo kesho tena mnarudi uwanjani hakuna namnana ni timu inayobebwa kweli kweli....
Kuna siku mbaya kwenye mpira. Siku tu inatokea kila short on target ni goli, haimaanishi kwamba nyinyi ni wabovu.Hao unaowadharau walimdunda huyo unayemsifia goli 5 tena sio za penalty, wenyewe wanawashukuru Esperance kwa kuwatoa kwenye mashindano maana wangekutana fainali wanajijua wasingetoboa
Al Ahly hawezi kutoboa kwa Es Tunis hata siku moja!Droo ya robo fainali ilipotoka nilishangaa watu kuwaogopesha yanga kuwa mamelodi watawafunga na kuwapongeza Simba kuwa wamepangwa na vibonde.
Ashakhum si matusi, mashabiki wabongo pamoja na wachambuzi ni vilaza.
Kwaaliyefuatiliamechi zote za CAFCL atakubali kuwa Al Ahly bado ni timu kubwa na itachukua hili kombe tena. Ndio timu yenye mafanikio zaidi Africa, Mamelodi ni kama yanga tu wameibuka juzi juzi.
Ile droo ilikuwa ni zuga tu wakipanga kulinganana ubora, timu kubwa kwa timu kubwa na ndogo kwa ndogo.
Waarabu wakikutana huwezi kutabiri mshindi.Droo ya robo fainali ilipotoka nilishangaa watu kuwaogopesha yanga kuwa mamelodi watawafunga na kuwapongeza Simba kuwa wamepangwa na vibonde.
Ashakhum si matusi, mashabiki wabongo pamoja na wachambuzi ni vilaza.
Kwaaliyefuatiliamechi zote za CAFCL atakubali kuwa Al Ahly bado ni timu kubwa na itachukua hili kombe tena. Ndio timu yenye mafanikio zaidi Africa, Mamelodi ni kama yanga tu wameibuka juzi juzi.
Ile droo ilikuwa ni zuga tu wakipanga kulinganana ubora, timu kubwa kwa timu kubwa na ndogo kwa ndogo.
Waarabu usiweke betting utaliwa, hao wanajuwana vizuri.Al Ahly hawezi kutoboa kwa Es Tunis hata siku moja!
NaKaZiaIle droo ilikuwa ni zuga tu wakipanga kulinganana ubora, timu kubwa kwa timu kubwa na ndogo kwa ndogo.
Walitakiwa wapambane warudi mchezoni,VAR kazi yake ndio hiyoMazembe walimalizwa nguvu kwa kunyimwa goli lao, chuma kimeitika.
Ahly walishakubali kuweka ngoma kati bila kelele, VAR room ikapokea maagizo toka juu.
Chuma ikakataliwa.
Nyumamwiko watabishaDroo ya robo fainali ilipotoka nilishangaa watu kuwaogopesha yanga kuwa mamelodi watawafunga na kuwapongeza Simba kuwa wamepangwa na vibonde.
Ashakhum si matusi, mashabiki wabongo pamoja na wachambuzi ni vilaza.
Kwaaliyefuatiliamechi zote za CAFCL atakubali kuwa Al Ahly bado ni timu kubwa na itachukua hili kombe tena. Ndio timu yenye mafanikio zaidi Africa, Mamelodi ni kama yanga tu wameibuka juzi juzi.
Ile droo ilikuwa ni zuga tu wakipanga kulinganana ubora, timu kubwa kwa timu kubwa na ndogo kwa ndogo.
Pia ndio mabingwa wa African Footbal League, jamaa kutolewa kwenye michuano haimaanishi kwamba wao ni vibondeHao unaowadharau walimdunda huyo unayemsifia goli 5 tena sio za penalty, wenyewe wanawashukuru Esperance kwa kuwatoa kwenye mashindano maana wangekutana fainali wanajijua wasingetoboa
Baadhi ya sheria/kanuni za soka ni za hovyo.Mazembe kanyimwa goli zuri sana ila mpira basi tu lakini Kuna vitu so unfair sema ndio hivyo kesho tena mnarudi uwanjani hakuna namna
Ni kweli hakukuwa na goli la penati au unaota ?Hao unaowadharau walimdunda huyo unayemsifia goli 5 tena sio za penalty, wenyewe wanawashukuru Esperance kwa kuwatoa kwenye mashindano maana wangekutana fainali wanajijua wasingetoboa