Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Droo ya robo fainali ilipotoka nilishangaa watu kuwaogopesha yanga kuwa mamelodi watawafunga na kuwapongeza Simba kuwa wamepangwa na vibonde.
Ashakhum si matusi, mashabiki wabongo pamoja na wachambuzi ni vilaza.
Kwaaliyefuatiliamechi zote za CAFCL atakubali kuwa Al Ahly bado ni timu kubwa na itachukua hili kombe tena. Ndio timu yenye mafanikio zaidi Africa, Mamelodi ni kama yanga tu wameibuka juzi juzi.
Ile droo ilikuwa ni zuga tu wakipanga kulinganana ubora, timu kubwa kwa timu kubwa na ndogo kwa ndogo.
Al ahly kumfananisha na mameledy ni dharau kubwa sana, au kwa vile wale ni waarabu ndio maana! Maana ukifuatilia kwenye mitandao utaona waafrika wengine ni wabaguzi sana na chuki zikiwatesa dhidi ya timu za kaskazini