Jana usiku Mashabiki mbumbumbu wa Tanzania ndio wamejua Al Ahly ni bora kuliko Mamelodi!

Mpaka sasa hatua ya final aly ahly kafungwa goli moja tu ..yeye kafunga goli kama 12, bado mnawaona wabovu ?
Ndio hapo sasa, bingwa mara nyingi kuliko timu yoyote anashushwa thamani kweli! Kuna watu wana chuki na wengine huleta ubaguzi kisa waarabu, ila ukweli timu za kaskazini zimetuacha mbali sana, hao mamelodi wanamwagiwa sifa nyingi ila uliza mpaka sasa wana vikombe vingapi kumzidi hata tp mazembe! Wale ni nguvu ya soda tu/muda mfupi, hata timu zetu zinammudu vizuri tu.
 
Huwezi kuongea mpira bila hizo mambo za races? basi chezeni ligi yenu ya kaskazini kama mnaona mnabaguliwa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Waambie wanaoleta chuki na baguzi kisa timu za kaskazini

Wewe labda husomi comments mitandaoni, kuna wadau walikua wanawatukana sana waarabu kwenye mashindano ya AFCON na AFL n.k, na mwingine kuingiza udini, asilimia kubwa ya watu weusi walikua wanashabikia timu za weusi, huo utasema sio ubaguzi!
Kwa hiyo wewe unaona ni sawa kutukanwa na kusemwa vibaya waarabu!

Am so happy waarabu wameingia final

Ahly anashinda💪🏽
 
Back
Top Bottom