Jana usiku nililirusha mwenyewe

Jana usiku nililirusha mwenyewe

Mkuu hicho kitanda unalalaje maana upande wa kichwa kunaonekana kunabonyea! Hivyo ukilala kiwiliwili kinakuwa juu kichwa kinakimbilia chini[emoji28]
Huoni huo ndo mwanzo wa ndoto za mizumi au ndo tuseme daraja la mfugale..[emoji23][emoji23]
Yaani hapa ukiliegesha hakuna kugeuka hiyo ngoma hadi asubuhi
 
Hili geto mkubwa limetimia sema sab ufer lipo kwa fundi meza kidogo iko kwa fundi nayo inafanyiwa repea mchwa waliipitia kipindi niko pori kidogo nilivifungia ndani mda mrefu
Sasa mkuu getto bila sabufa ni sawa na bafu tu, fanya upesi sabufa liungurume hapo.
 
Back
Top Bottom