Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza umekosea mboga ya mayai haipikwi hivyo.Si nilichanganya ile ya kuweka na nyanya ?ni nyingi sana maana tonge nilichovya ili mboga ibaki[emoji85]
Hapa sab ufer na king'amuzi na deki bado alafu ndio nifikirie kuoa sasa[emoji23][emoji23]
Kweli mkuuView attachment 1482337View attachment 1482338
Kama kweli Jehanamu ipo ebu fikiria maisha ya jamaa aliyopost hapo juu yalivyo ya tabu halafu awe na dhambi halafu eti akutane jehanamu na hawa ma drug lord ambao wao wamekula maisha duniani wakati jamaa dhambi zake ilikuwa kuiba kkuku ili kusurvive hakuenjoy maisha kama hawa.
Hapo ndipo uwa nachanganyikiwa
Chawa tuNa kazi wanafanya ya maana tena boss ofisini
Watu wa jamhuri ya JF mna shida sana, hivi kuishi kwa shemeji niKuna wajinga watakushambulia unaish stoo ila unaeza kuta wanalala sebule za mashemeji zao
Wewe ndio hujui kumbe.Kwanza umekosea mboga ya mayai haipikwi hivyo.
Inatakiwa unakaanga yai kwanza peke yake then unaunga kama unavyounga lost ya nyama au samaki.
Arifu umetishaWewe ndio hujui kumbe.
Baba hiyo ngoma una katakata nyanya vipande vidogo sana unakaanga vitunguu kwenye sufuria ile vinabadilika rangi tuu kuwa unamimina huko zile nyanya alafu unakoroga ili zilainike kabisa unafunika zichemke kidogo,wakati zinachemka wewe sasa unapasua mayai yako unaweka kwwnye kibakuli au kokombe unaya piga piga kukoroga alafu unafunua mfuniko wako kwenye sufuria unakoroga na mwiko huku unamiminia yale mayai yako huku unakoroga haraka haraka kwa mda kidogo ili lisigande sana na kukauka alafu kitu sasa unamiminina kwenye sahani.(hapa kigeto geto tonge unachovya humo humo kwenye sufuria maana kuna ka mchuzi fulani amazing mle pembeni ya sufuri wacha kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo nafahamu ila kiukweli huwa hainivutii kabisa.Wewe ndio hujui kumbe.
Baba hiyo ngoma una katakata nyanya vipande vidogo sana unakaanga vitunguu kwenye sufuria ile vinabadilika rangi tuu kuwa unamimina huko zile nyanya alafu unakoroga ili zilainike kabisa unafunika zichemke kidogo,wakati zinachemka wewe sasa unapasua mayai yako unaweka kwenye kibakuli au kikombe unaya piga piga kukoroga alafu unafunua mfuniko wako kwenye sufuria unakoroga na mwiko huku unamiminia yale mayai yako huku unakoroga haraka haraka kwa mda kidogo ili lisigande sana na kukauka alafu kitu sasa unamiminina kwenye sahani.(hapa kigeto geto tonge unachovya humo humo kwenye sufuria maana kuna ka mchuzi fulani amazing mle pembeni ya sufuria wacha kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Haki JFmmepinda dah nimecheka kinyamaMkuu hicho kitanda unalalaje maana upande wa kichwa kunaonekana kunabonyea! Hivyo ukilala kiwiliwili kinakuwa juu kichwa kinakimbilia chini😅
Huoni huo ndo mwanzo wa ndoto za mizumi au ndo tuseme daraja la mfugale..😂😂
Hapana mkuu. Ila ukiwa unaishi kwa shemeji yaani watu wanapozungumzia ugumu wa maisha au ma getto au kwa ujumla mambo za maisha ni either utulie usichangie au kama unachangia mada za namana hizo usiponde hata kidogo maana wewe mwenyewe unaishi kwa udhamini. Utaijuaje ngoma yenyewe halisi.Watu wa jamhuri ya JF mna shida sana, hivi kuishi kwa shemeji ni
1. Dhambi ?
2. Kinyume na katiba ya nchi ?
3. Uvunjifu wa amani ?
4. Yote hapo juu.