Jana usiku nililirusha mwenyewe

Jana usiku nililirusha mwenyewe

Hapana mkuu. Ila ukiwa unaishi kwa shemeji yaani watu wanapozungumzia ugumu wa maisha au ma getto au kwa ujumla mambo za maisha ni either utulie usichangie au kama unachangia mada za namana hizo usiponde hata kidogo maana wewe mwenyewe unaishi kwa udhamini. Utaijuaje ngoma yenyewe halisi.
Je wanaoishi kwa wajomba, shangazi, baba mdogo, mama mdogo, kaka ,dada etc wanaruhusiwa kuponda ?

Maana huwa naona wanaosakamwa ni wale wanaoishi kwa mashemeji tu as if hakuna wanaokula na kulala kwa ndugu
 
Wote group moja hao. Hawana tofauti. Ila waliotia fora sana ni wale Dada kaolewa sehemu flani baasi na yeye jamaa anatia timu. Yaani Dada akiharibu tu hajatoa penzi vizuri kabana miguu baasi jamaa yeye na Dada yake wote wanafungashwa virago.
Sasa mtu wa namna hii aje na jeuri yake hapa jf kuwafundisha watu maisha?! Hiyo itakua dhambi. Atulie tu hivyo hivyo mpk atakapoanza maisha.
 
Wewe ndio hujui kumbe.
Baba hiyo ngoma una katakata nyanya vipande vidogo sana unakaanga vitunguu kwenye sufuria ile vinabadilika rangi tuu kuwa unamimina huko zile nyanya alafu unakoroga ili zilainike kabisa unafunika zichemke kidogo,wakati zinachemka wewe sasa unapasua mayai yako unaweka kwenye kibakuli au kikombe unaya piga piga kukoroga alafu unafunua mfuniko wako kwenye sufuria unakoroga na mwiko huku unamiminia yale mayai yako huku unakoroga haraka haraka kwa mda kidogo ili lisigande sana na kukauka alafu kitu sasa unamiminina kwenye sahani.(hapa kigeto geto tonge unachovya humo humo kwenye sufuria maana kuna ka mchuzi fulani amazing mle pembeni ya sufuria wacha kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Nice
 
Wote group moja hao. Hawana tofauti. Ila waliotia fora sana ni wale Dada kaolewa sehemu flani baasi na yeye jamaa anatia timu. Yaani Dada akiharibu tu hajatoa penzi vizuri kabana miguu baasi jamaa yeye na Dada yake wote wanafungashwa virago.
Sasa mtu wa namna hii aje na jeuri yake hapa jf kuwafundisha watu maisha?! Hiyo itakua dhambi. Atulie tu hivyo hivyo mpk atakapoanza maisha.
Nimekupa like
 
Back
Top Bottom