Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Je wanaoishi kwa wajomba, shangazi, baba mdogo, mama mdogo, kaka ,dada etc wanaruhusiwa kuponda ?Hapana mkuu. Ila ukiwa unaishi kwa shemeji yaani watu wanapozungumzia ugumu wa maisha au ma getto au kwa ujumla mambo za maisha ni either utulie usichangie au kama unachangia mada za namana hizo usiponde hata kidogo maana wewe mwenyewe unaishi kwa udhamini. Utaijuaje ngoma yenyewe halisi.
Maana huwa naona wanaosakamwa ni wale wanaoishi kwa mashemeji tu as if hakuna wanaokula na kulala kwa ndugu