[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui kwa nn hii comment imenikwaza.
Bladfuli kula kulala kwa shemeji
Yaani hapa ukiliegesha hakuna kugeuka hiyo ngoma hadi asubuhiMkuu hicho kitanda unalalaje maana upande wa kichwa kunaonekana kunabonyea! Hivyo ukilala kiwiliwili kinakuwa juu kichwa kinakimbilia chini[emoji28]
Huoni huo ndo mwanzo wa ndoto za mizumi au ndo tuseme daraja la mfugale..[emoji23][emoji23]
Hili geto mkubwa limetimia sema sab ufer lipo kwa fundi meza kidogo iko kwa fundi nayo inafanyiwa repea mchwa waliipitia kipindi niko pori kidogo nilivifungia ndani mda mrefu
Ushakunywa chai?
Basi uwa unaenda kisharobaro ndio maana anakuwekea kidogo anajua uwezi maliza.Nisingeshiba pale wanapunja sana[emoji23][emoji23]
lolNilidhani kwa mganga.
Mmmhh!! getto la mwamba unaliita stoo ?Mzee baba unaishi stoo 😀 😀
Sasa mkuu getto bila sabufa ni sawa na bafu tu, fanya upesi sabufa liungurume hapo.Hili geto mkubwa limetimia sema sab ufer lipo kwa fundi meza kidogo iko kwa fundi nayo inafanyiwa repea mchwa waliipitia kipindi niko pori kidogo nilivifungia ndani mda mrefu
Kwa mbalii naiona flat screen kalii
Naona flat screen ya maana hapo
Daah wakuu punguzeni kejeliNilidhani kwa mganga.