"Jana usiku Raisi wa Somalia Mogadishu amelala kwenye Kibanda cha Mbuzi, kuna tetesi Amekimbilia kusikojulikana"

Hiyo ni hadithi ilioyongezewa baada ya mtume kufariki

Kumbuka Mtume mwenyewe hakuamrisha korani kuwa kitabu mpaka wakati wa kifo chake kulikuwa na watu waliomsikia akisema hao ni wanaitwa "mahafidhi" na Binadamu kama ujuavyo huwa ana wivu anajua uongo pamoja husda.

Nioneshe aya inayomwambia Mtume Aandike kitabu cha Koraan?! Halafu tuendelee
 
Brother unafikaje Somaliland tukajiopolee watoto wazuri
Unaenda Nairobi Kuna ofisi ndogo ya Ubalozi wa Somaliland unagongewa Viza unachukua Ethiopian Airlines au Africa Express to Hargeisa via Adiss Ababa.
Karibia Kenya Airways wanaanzisha Direçt flights.
 
Hizi porojo ndio huwa zinawaponza... Mtachakaa saana
 
Thank you Jesus Wasomali Wameokoka Haleluya!!..

Uhuru Muigai Abarikiwe!
 
Roho Mtakatifu ndie anyeongea Hapa.
 
Kuna haja ya JF kuanzisha Jukwaa la kupima watu akili [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna haja ya JF kuanzisha Jukwaa la kupima watu akili [emoji23][emoji23][emoji23]
Sina wasiwasi kabisa na haya ninenayo uisilamu unapukutika ndani ya Wasomali kuanzia jabuti hadi kenya mimi nakuwekea ushahidi wewe unaweka Porojo BWANA YESU ASIFIWE.
 
Mwenye quran kuna hadith?
 
Hao Wikipedia ndo Nani katika UISLAM?
The burqa and other types of face veils have been attested since pre-Islamic times, in particular among Pashtun and Arab women. Face veiling has not been regarded as a religious requirement by most Islamic

Source:Wilipedia.
 
Mwenye quran kuna hadith?
Kweni kuraani ninini? matukio yaliorekodiwa kutoka katika Toraah Injili kama ile hadithi ya mussa na Farao ni hadidhi zilizotikea miaka 3000 iliyopita huko Misri wala hazikutokea mbinguni ni hapapo Memphis Baadhi ya matukio ya Utawala wa Wahabeshi katika Bara Arabu. Au unafikiri ni kitabu kilichoshushwa kwa Parachute.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…